Vyeti vya PhD ya Mwakyembe vichunguzwe

funza

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
7,460
3,138
Mwakyembe amekuwa na Historia ya utendaji usiokuwa na Tija, Wizara zote alizopita aliacha majanga, ukabila ufisadi na mambo mengi ya Ajabu ajabu.

Ni wakati wa yeye kuchunguzwa PhD yake kwa makini pia juu ya Taaluma zingine kwa umakini kujua endapo kama Kweli anamiliki vyeti vya Ukweli.

PhD yake ilishindwa kugundua mabehewa Feki kwa hivyo hapaswi kuendelea kuitwa Dr.
 
Kitendo cha jinai alichotenda bungeni kumtusi Mh Sugu pia ni kiashiria cha kuonyesha kuwa Upeo wake haukidhi haja ya kuitwa Dr , maana msomi olijino huwa na hekima na busara na umakini kwenye kujenga hoja.
 
Mwakymbe achunguzwe kuanzia Elimu ya Msingi, form 4 , six hadi chuo kikuu kote alimopita maana vyeti vyake inaelekea ni vya magumashi matupu kutokana na matendo yake live.
 
Ubunge wenyewe ameuchukua kwa nguvu ya Goli la mkono na Uchakachuaji hana wapiga kura bali Uchakachuaji ndiyo wananchi wake waliomsaidia kuwa Mbunge wengi kule Jimboni kwake hawamtaki kabsa na wanajua kuwa alisoma kiujanja ujanja hadi akajibatiza huo udaktari PhD ya kizushi.
 
Mwakymbe amekuwa na Historia ya utendaji usiokuwa na Tija, Wizara zote alimpita alicha majanga, ukabila ufisadi na mambo mengi ya Ajabu ajabu, ni wakati wa yeye kuchunguzwa PhD yake kwa makini pia juu ya Taaluma zingine kwa umakini kujua endapo kama Kweli anamiliki vyeti vya Ukweli? PhD yake ilishindwa kugundua mabehewa Feki kwa hivyo hapaswi kuendelea kuitwa Dr.
Taratibu tutaelewana, kwamba hii nchi ni ya sanaa. Wasomi wetu ni kama kasuku kuwalisha wa Tanzania wanachotaka sikia na si kupambana kubadili fikra za wa Tanzania na kuwaelekeza katika mema. Wao hupambana kupata nafasi ya kwenda wapotosha.
 
Elimu yake
Hapa labda tuchunguze alivyofaulu chekechea, darasa la 4, darasa la 7, darasa la 12, lakini sio Ph.D yake.

Baada ya Mwakyembe kujiunga na masomo ya sheria UDSM (in the 70s) alipasua mpaka wakamchukua kama Tutorial Assistant. Kwa wanaofahamu mchujo wa kupata ma-TA in the late 70s na early 80s hawezi kusema kuwa alibakizwa pale kitivo cha sheria kwa machepta. UDSM ndio iliyomsomesha kupata LL.M na PhD (au pengine JD) yake. Hapa huwezi kutumia ujanja ujanja. Kwa hiyo PhD (au JD) ya Mwakyembe haina utata.

Ufanisi wake katika siasa.
Hapa pengine kuna hoja. Yani kuchunguza kwa nini mtu super-intelligent kama Mwakyembe asiyaone mabehewa mabovu. Kuna sababu nyingine na sio elimu yake.
 
Ulichosahau ni kwamba wasomi wa kibongo ni super kasuku. Watasema chochote kanachosemwa ktk hilo eneo kupata marks. Na kwa vile hawana maadili hufanywa vitu wasivyoviamini wala vichambua , vitu ambavyo haviwi sehemu yao. Baada ya hapo huvitupilia mbali. Ndio maana huyu jamaa leo ni kibaraka au useful idiot. Elimu yake hutumika na wengine kwa kazi chafu , kwa vile huyu kasuku hajui pa kuitumia.
 
Kwa hyo ndio kusema ule unyani aliosema marehemu mtikila ndio unamsumbua au umfumo CCM ndio unamsumbua lkn kikubwa ambacho mnatakiwa kujua ni Serikali yote ya CCM ipo kwa ajiri ya matajiri hyo ndio sifa ya Serikali corpt kokote ulimwenguni
 
Mwakymbe amekuwa na Historia ya utendaji usiokuwa na Tija, Wizara zote alimpita alicha majanga, ukabila ufisadi na mambo mengi ya Ajabu ajabu, ni wakati wa yeye kuchunguzwa PhD yake kwa makini pia juu ya Taaluma zingine kwa umakini kujua endapo kama Kweli anamiliki vyeti vya Ukweli? PhD yake ilishindwa kugundua mabehewa Feki kwa hivyo hapaswi kuendelea kuitwa Dr.

Kiwango cha uelewa wa mambo wa wewe uliyeleta uzi huu kinatia shaka mno...inawezekana hata katka jamii au katika familia yako maisha yako yanatiliwa shaka.....
 
Ubunge wenyewe ameuchukua kwa nguvu ya Goli la mkono na Uchakachuaji hana wapiga kura bali Uchakachuaji ndiyo wananchi wake waliomsaidia kuwa Mbunge wengi kule Jimboni kwake hawamtaki kabsa na wanajua kuwa alisoma kiujanja ujanja hadi akajibatiza huo udaktari PhD ya kizushi.
Tupe evidence usituletee ulowasa na hoja za bavicha
 
Kwa hyo ndio kusema ule unyani aliosema marehemu mtikila ndio unamsumbua au umfumo CCM ndio unamsumbua lkn kikubwa ambacho mnatakiwa kujua ni Serikali yote ya CCM ipo kwa ajiri ya matajiri hyo ndio sifa ya Serikali corpt kokote ulimwenguni
Ccm ni chama na mfumo mfu. Hawapendi matajiri ila hawawezi ishi bila wao. Wana wapenda Masikini ila nawaachia wanyonya zaidi. Wanapenda maendeleo ila wakigusa yanapochanua yanaoza. Hajawahi isikia hii kauli kuwa mradi fulani ulikuwa ukienda vyema hadi siasa zilipoingia? I.e hadi Ccm ilipoingia.
 
Kifyatu
Kabla ya Dr Mwakyembe HAJASOMA LLB University of Dar ALIPITIA kwanza kusoma UANDISHI wa habari Nyegezi Mwanza!Dr alitunga vijarada kibao vya udaku akiwa Mwana habari

Hakwenda UD kusoma direct LLB baada ya kutoka sekondari!
Waliojiunga sheria enzi za Mwakyembe wote walitokea kazini (azimio la Musoma). Baadhi yao ni Marehemu Dr. Mvungi, Prof. Kabudi, Prof. Maina, nk. Lakini walipokuja chuoni wote walifanya LL.B halafu waliobakia pale walifanya LLM na JD. Mwakyembe ni mmoja wao.
 
Mwakyembe njaa ameiweka kichwani na tamaa ya kuiba ndio imemtawala! Kashfa ya mabehewa alitakiwa kunyongwa kabisa! Bahati yake serikali huwa inawakingia kifua mafisadi la sivyo hakutakiwa kuwepo alipo leo!
 
Ulichosahau ni kwamba wasomi wa kibongo ni super kasuku. Watasema chochote kanachosemwa ktk hilo eneo kupata marks. Na kwa vile hawana maadili hufanywa vitu wasivyoviamini wala vichambua , vitu ambavyo haviwi sehemu yao. Baada ya hapo huvitupilia mbali. Ndio maana huyu jamaa leo ni kibaraka au useful idiot. Elimu yake hutumika na wengine kwa kazi chafu , kwa vile huyu kasuku hajui pa kuitumia.
Hahaaaa... Kumbe incomplete metamorphosis!!!! Ndio maaana.. Uchunguzi umekamilika hakuna haja

Back
Top Bottom