asante sana mkuukwa muda wako na ushauri ntaufuatilia!nenda
polisi kwanza(japo tunawadharau kuwa wauaji,ila kwa hili
watakusaidia),utaandika loss repot ya vyeti vyako,then utaenda
mahakamani kwa ajili ya approval ya kisheria,toka hapo utapeleka hvo
viambatanisho baraza la mitihani(kwa upande wa vyt vya sec)
hao jamaa watakupa statements ktk kuthibitisha kuwa kweli umepitia hatua hzo kwa matokeo hayo,ila hupewi cheti kngne,ni maelezo tu.
Habari wakuu zangu nawasaliimu sana.
Naombeni sanakama kichwa cha habari kinavyojieleza vyeti vyangu vyote vimeungua moto nzungumzia kuanzia form 4 mpaka chuo kikuu sasa nashindwa nianzie wapi kuvipata.
Nawaomba mnifungue macho jamani nianzie wapi
yeyote aliyewahi kutana na kitu hii anishauri wapendwa.
Je kuna uwezekano wakuvipata upya
nawasilisha
asante sana kwa muda wako na ushauri wakonenda polisi watakupa loss report baada ya hapo nenda shule ulizo soma watakuaondikia barua za uthibitisho na uwe na picha paspot zize ambazo mkuu wa shule uliyosoma ata gonga mhuri juu ya picha na katika barua hizo watatajia adimision no na examination no zako kiisha nyaraka hizo peleka baraza la mitihani la tanzania wao hawakupi vyeti ila kila utakapo aply kazi au kusoma wao watato statement of result kule uliko aply
Duhhhhhhh kumbe gamba langu
lina thamani hivi kwamba likipotea hawanipi jengine ngoja nilinunulie
self ya chuma hata moto uspite
yap,tena hiyo ni mbinu nzuri sana ya kuhfadhi vyeti,zingatia,lamination usifanye kwani hairuhusiwi kisheria.
Haaa aisee kumbe lamination
hairuhusiwi!! Vyangu nshavifanyia ? Ahsante kwa taharifa y- n ,!
Nimeviweka kwa mdingi huko maana sisi vijana unaweza kuta vimechomwa na
waif mkileteana kasheshe si ndo anajua vinakupa kibri kwa mdingi huko
haa familia nzima utavikuta hapo !!!
yap,tena hiyo ni mbinu nzuri sana ya kuhfadhi vyeti,zingatia,lamination usifanye kwani hairuhusiwi kisheria.
Hii ni habari mpya,
lamination hairuhusiwi kwani inabadili nini? Mbona hawatoi elimu hiyo
maana wengi tumefanya hivy. BTW poke sana NIVEA.
yap,tena hiyo ni mbinu nzuri sana ya kuhfadhi vyeti,zingatia,lamination usifanye kwani hairuhusiwi kisheria.
Bora tusumbuane na sheria kuliko kuacha vyeti vyangu vilowane na maji au mafuta.