Mungu hawezi kushusha dikteta mwenye kudharau taratibu na sheria mbali mbali za nchi ambaye pia ni muongo fisadi na mnyanyasaji. Acha kujibaraguza.
halafu anasubutu kusimama na kuwasakama wenzieJamaa ni fisadi wa kutupa huyu.
Very True .lakini huu mchakato uko kisiasa zaidi
Mie nimeanza likizo yangu ya mwaka jana, ina bidi nitembee na fomu yangu ya ruhusa ya likizo maana mwishowe "wambeya" wenzangu wakiniona niko home kuanzia jana watajua na mie "nimooo"
Kupanga ni kuchagua! Serikali imechagua kuanza na hawa. Leta lingine.Hapa ndio napata shida na nchi hii,, Kwanini awamu ya kwanza ya uhakiki iwe kwa waalimu, wauguzi na huko halmashauri na sio kwenye hizo agency as serikali kama TRA, TEMESA, TPA, nk kwa nini wasianzie kwenye hizo agency kwanza...??
Ina maana ilikuwa inaenda vizuri kwa kuwa na wenye vyeti feki maelfu serikalini, wafanyakazi hewa maelfu serikalini, wapiga madili kibao na wakwepa kodi - hapo ndo ilikuwa sawa kwenu?Lowassa ni fisadi tu. Na wewe hujitambui kutaka kuja humu kusifia mediocre performance wakati nchi inaenda mrama.
Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu
Mbona husemi ndugu yako Kibajaji?Kahakiki na Mbowe pia
Ina maana ilikuwa inaenda vizuri kwa kuwa na wenye vyeti feki maelfu serikalini, wafanyakazi hewa maelfu serikalini, wapiga madili kibao na wakwepa kodi - hapo ndo ilikuwa sawa kwenu?
Mwacheni Rais wetu atuweke sawa. Maumivu yapo lakini kufikia 2025 nchi itakuwa IMEPONA.
Hapa ndio napata shida na nchi hii,, Kwanini awamu ya kwanza ya uhakiki iwe kwa waalimu, wauguzi na huko halmashauri na sio kwenye hizo agency as serikali kama TRA, TEMESA, TPA, nk kwa nini wasianzie kwenye hizo agency kwanza...??
Kwani hao wameajiriwa?Hata JKT mkuu
Ajira ni ajira tu hata kama ni kwa miaka 2 au miezi 6, hawa hawa wanakuja kwenda polisi na JWTZ.Kwani hao wameajiriwa?
Unamquote sana Mwinyi wakati kama utaitendea haki akili yako utagundua katika kipindi cha uongozi wake ilikuwa ni afadhali ya gari bovu.Eti nchi imepona! Kamuulize Kinana, Butiku, Mwinyi na Warioba kama nchi imepona. Acha kudumaza akili yako.
Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu
Unamquote sana Mwinyi wakati kama utaitendea haki akili yako utagundua katika kipindi cha uongozi wake ilikuwa ni afadhali ya gari bovu.
Ukiniuliza katika Marais wote walioongoza nchi hii ni nani aliyekuwa mbovu kuliko wote nitakujibu bila kupepesa macho kuwa ni MWINYI. Serikali yake iliongoza katika ukwepaji kodi, ndicho kipindi ambacho akina Guramali, Dewiji walikuwa wakiwaahidi wachezaji kuwa mkiifunga Yanga/Simba kila mchezaji akachukue gari ya kutembelea. Mkapa ndiye aliyeiokoa nchi hii kutumbukia shimoni. Alirejesha heshima ya serikali na wafanyakazi, watu tukaanza kuheshimiana kwa mafanikio yanayotokana na juhudi na sio madili (ingawa naye Mkapa mwishoni wapiga madili - Mramba, Yona - walimuingiza mjini)
JK he was weak - hili hata John Myika anajua, mzee wa matanuzi, safari kila kukicha, lakini he did far better than Mwinyi although again worse than Mkapa.
JPM is doing his best. Ni Rais ambaye dhamira yake haina shaka hata chembe. He is determined kuona nchi inarudi kwenye msitari. AMESHATENDA ambayo mengine leo yanatushangaza. Watu waliokuwa wakiishi kifekifeki, kimadilimadili wanapata shida kwelikweli.
Wasubiri tu! labda 2025 CHADEMA ikifanikiwa kumuweka LOWASA madili yao atawarudishia. Lakini kwa sasa HAPA KAZI TU! hakuna ufekifeki serikalini. IMETOSHA! JPM kaza kamba turudi kwenye mstari.
Ni kweli Mwinyi aliua dira ya TAIFA, akaanzisha azimio la Zanzbar ambalo ndilo chimbuko la kukwama kwa TAIFA.Pia umesahau kipindi cha huyo Mzee Mwinyi ndio
1) Iliwezekana kupata Unga Dukani bila ya kukimbizana na Magari ya 'Ugawaji' Mji mzima kununua ( sio kupewa bure) bidhaa Muhimu
2) Huu ustaarabu unaouna Leo wa uhuru wa kujieleza na hata kumkosoa Rais umeanza wakati wa Mzee Mwinyi kabla ya Mwinyi ilikuwa ili uweze kumkosoa Rais Basi uwe tayari kupoteza uhai au kuwa Mkimbizi lakin wakati wake iliwezekana hata kumtukana huku umeegemea Kuta za uzio wa Usalama wa Taifa na kisha ukarudi kwako salama salmeen!
3) Huyu ndie Rais aliepokea Nchi ya Ujamaa na Kujitegema toka kwa Nyerere ikiwa haina hata uwezo wa kulipia Meli ya Mafuta iliyotia Nanga Bandarini kwa Mkopo mpaka ikabidi Mzee Mugabe aokoe Jahazi na hilo kaeleza Mzee Warioba akieleza Chamgamoto walizopata wakikabidhiwa Nchi na yeye akiwa PM 1985
4)Watu waliacha kuvaa Viraka wakati wa Mzee Mwinyi
5) Unajifanya kumlaumu Mwinyi kwa kutokuwa na Makusanyo ya kodi lakin hujui structure ya TRA iliyaonzishwa Miezi mitatu baada ya Mkapa kuingia MADARAKANI ni Matokeo ya kazi ya Mzee Mwinyi na usichojua angekusanya kodi ipi Kama hapakuwa na Sector binafsi na zile za Umma ndio zilikuwa zimekufa kiasi cha kushindwa hata ku supply bidhaa adimu kwa Raia na kulikuwa na total ban ya kuto import bdhaa muhimu toka Nje!
6) Kabla yake hata kuagiza chochote toka Nje Mfano Fridge ya kupoza Maji Baridi na kuhifadhi nyanya zisiharibuke toka Nje ilikuwa ni kuhujumu Uchumi
7) Huu ustaarabu na upanukaji wa Miji na kufunguka shughuli za uzalishaji Mali ni Matokeo ya kazi ya Huyu Mzee Ruksa na Nyerere aliamua amkabidhi Huyu Nchi baada ya kushuhudia akiibadilisha Zanzibar ndani ya Miezi 18 aliyokabidhiwa toka kwa Jumbe!
Tofauti ya Mwinyi na Ma Rais wengine ni kutokuwa kwake na Makundi ya Wapambe kumsifia na kumshabikia kutokana na Tabia yake ya kutojikweza na kujisifu tangu akiwa Mamlakani!
kaka na watu wanafurahia eti kufukuzwa kwa hao ndio ajira zitapatikana mwezi wa 7 mimi sidhan.Baada ya kushindwa kuongoza , ikiwa ni pamoja na kufeli kwa bajeti ya 2016/2017 kutoka 100% hadi 34% , imepangwa njama ya makusudi ya kuvuruga nchi .