Vyeti feki vyazua kizaazaa

Vyeti feki vyazua kizaazaa

Kuna watu wanadhani hawa wakitumuliwa nao watapata kazi kiharaka...subirini muone
kwel kabisa unacho kisema ndio maana wa tz weng wanashangilia na mimi ndio nasubir ajira ila sina wazo kama tutaajiriwa kiharaka aiseee
 
Huu mchakato Upo kisiasa na kwenye msafara wa Mamba,na Kenge wamepitiwa.
OPERATION VYETI.
Ngoja tuzisubiri operation ajira[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watupishe tu hamna jinsi.

Ila nauliza tu, kule kwenye sekta binafsi vipi?

Anaejua anijuze tafadhali.
 
Hapa ndio napata shida na nchi hii,, Kwanini awamu ya kwanza ya uhakiki iwe kwa waalimu, wauguzi na huko halmashauri na sio kwenye hizo agency as serikali kama TRA, TEMESA, TPA, nk kwa nini wasianzie kwenye hizo agency kwanza...??
Umeonaee hapa ndipo humkumbuka Mkwere 100/100
 
Ni kweli Mwinyi aliua dira ya TAIFA, akaanzisha azimio la Zanzbar ambalo ndilo chimbuko la kukwama kwa TAIFA.
Taja UFISADI wowote nchi hii, asili yake ni AZIMIO la Zanzbar.
Tunajivunia uhuru wa kuwatukana wakati wakitupiga kwenye madili yao.

Alishajibu Hilo Mwinyi Tatizo lako hufuatilii!

Azimio la Arusha kilikuwa ni Paper Tiger halikuwa linatekelezeka!

Azimio la Arusha halikufanikiwa hata kitu kimoja cha Kiuchumi zaid ya kupora Wahindi na Wazungu, Viwanda, Mashamba Viwanja na Majumba

Bila ya kufa kwa Azimio la Arusha Mfumo wa Vyama vingi ulikuwa hautekelezeki

Azimio la Arusha Msingi wake ulikuwa Siasa na Uchumi wa Ujamaa lakin Kwa Miaka yote hiyo ya Azimio 1967-1992 Tanzania haikuwahi kujitegemea hata kwa Sekunde Mbili lakin Wimbo wa kujitegemea tuliendelea kuimba!

Takwimu za World Bank zinasema Watanzania wameanza kuficha Fedha Uswizi 1974 jee Azimio la Arusha halikuwepo?

Operation Uhujumu Uchumi ilikuwa kusaka Wahujumu Uchumi 1983 jee hao Wahujumu Uchumi waliletwa na Azimio la Znz?

Hapo ulipo nikikuuliza chochote kuhus Azimio la znz hujui kitu zaid ya kukariri kuwa Azimio la Arusha lilifutwa!

Azimio la Znz ndio liliachana na Mfumo wa Kijamaa ambao hata hao tuliowaiga China wameachana nao

Azimio la znz ndio limeruhusu uwepo wa Mfumo wa Vyama vingi

Azimio la Arusha lilinyang'anya Watu Mali zao na ndio ukawa mwanzo wa Watanzania kujifaharisha kwa Umaskini kuwa ndio Kigezo cha uadilifu na uchapakazi na utajiri ni dhambi ya kuepukwa!
 
Wasiwasi wangu kusiwe kukawa na ajenda ya siri katika zoezi hili..
Wageni wanalinyemelea sana hili taifa..
mataifa ya jirani yanajitahidi kwa udi na uvumba kukamata mifumo yetu muhimu ili kunufaika na rasilimali asili zipatikanazo nchini...
 
Hapa ndio napata shida na nchi hii,, Kwanini awamu ya kwanza ya uhakiki iwe kwa waalimu, wauguzi na huko halmashauri na sio kwenye hizo agency as serikali kama TRA, TEMESA, TPA, nk kwa nini wasianzie kwenye hizo agency kwanza...??
Wapo pia sema wapo wachache, waajiriwa wa huko sio wengi kama halmashauri
 
Alishajibu Hilo Mwinyi Tatizo lako hufuatilii!

Azimio la Arusha kilikuwa ni Paper Tiger halikuwa linatekelezeka!

Azimio la Arusha halikufanikiwa hata kitu kimoja cha Kiuchumi zaid ya kupora Wahindi na Wazungu Viwanja na Majumba

Bila ya kufa kwa Azimio la Arusha Mfumo wa Vyama vingi ulikuwa hautekelezeki

Azimio la Arusha Msingi wake ulikuwa Siasa na Uchumi wa Ujamaa lakin Kwa Miaka yote hiyo ya Azimio 1967-1992 Tanzania haikuwahi kujitegemea hata kwa Sekunde Mbili lakin Wimbo wa kujitegemea tuliendelea kuimba!

Takwimu za World Bank zinasema Watanzania wameanza kuficha Fedha Uswizi 1974 jee Azimio la Arusha halikuwepo?

Operation Uhujumu Uchumi ilikuwa kusaka Wahujumu Uchumi 1983 jee hao Wahujumu Uchumi waliletwa na Azimio la Znz?

Hapo ulipo nikikuuliza chochote kuhus Azimio la znz hujui kitu zaid ya kukariri kuwa Azimio la Arusha lilifutwa!

Azimio la Znz ndio liliachana na Mfumo wa Kijamaa ambao hata hao tuliowaiga China wameachana nao

Azimio la znz ndio limeruhusu uwepo wa Mfumo wa Vyama vingi

Azimio la Arusha lilinyang'anya Watu Mali zao na ndio ukawa mwanzo wa Watanzania kujibu cumin Umaskini kuwa ndio Kigezo cha uadilifu na utajiri ni dhambi
Mkuu nikiri kuwa unaeleza vizuri sana hoja zako . Nami pia nashukuru kwa elimu na ufafanuzi (This is my very honest compliment)
Naomba sasa unisaidie kunifafanulia baadhi ya maswali ambayo nimekuwa nikijiuliza.
je, miiko ya uongozi ilikuwa ni sehemu ya Azimio la Arusha au la?, Je Azimio la Zanzbar halikuendana na kuifuta miiko hiyo? ikiwa miiko ya uongozi ilifutwa na Azimio la Zanzbar, je ni kwa kiasi gani kupotezwa kwa miiko hiyo kumechangia kushamiri kwa UFISADI nchini?
 
Only in Tanzania, nadhani tunastahili kuingia kwenye Makumbusho ya Dunia sio ya Taifa tena
Just be acceptance! Umesikia Governor Joho hapo Kenya alivyofuatiliwa na suala la fake certificates?
Tatizo la hapa ni kuwaondoa wanasiasa. Tunataka wote watangazwe ili tujue uaminifu wao ktk maisha.
 
Alishajibu Hilo Mwinyi Tatizo lako hufuatilii!

Azimio la Arusha kilikuwa ni Paper Tiger halikuwa linatekelezeka!

Azimio la Arusha halikufanikiwa hata kitu kimoja cha Kiuchumi zaid ya kupora Wahindi na Wazungu Viwanja na Majumba

Bila ya kufa kwa Azimio la Arusha Mfumo wa Vyama vingi ulikuwa hautekelezeki

Azimio la Arusha Msingi wake ulikuwa Siasa na Uchumi wa Ujamaa lakin Kwa Miaka yote hiyo ya Azimio 1967-1992 Tanzania haikuwahi kujitegemea hata kwa Sekunde Mbili lakin Wimbo wa kujitegemea tuliendelea kuimba!

Takwimu za World Bank zinasema Watanzania wameanza kuficha Fedha Uswizi 1974 jee Azimio la Arusha halikuwepo?

Operation Uhujumu Uchumi ilikuwa kusaka Wahujumu Uchumi 1983 jee hao Wahujumu Uchumi waliletwa na Azimio la Znz?

Hapo ulipo nikikuuliza chochote kuhus Azimio la znz hujui kitu zaid ya kukariri kuwa Azimio la Arusha lilifutwa!

Azimio la Znz ndio liliachana na Mfumo wa Kijamaa ambao hata hao tuliowaiga China wameachana nao

Azimio la znz ndio limeruhusu uwepo wa Mfumo wa Vyama vingi

Azimio la Arusha lilinyang'anya Watu Mali zao na ndio ukawa mwanzo wa Watanzania kujibu cumin Umaskini kuwa ndio Kigezo cha uadilifu na utajiri ni dhambi
Stop quoting Mwinyi! It was a time of making nonsense decision.
Koran na Biblia ilishafanikiwa? Je, leo hii unaweza ukaruhusu ushetani eti tu kwa sababu vitabu vya dini vimeshindwa?
 
Stop quoting Mwinyi! It was a time of making nonsense decision.
Koran na Biblia ilishafanikiwa? Je, leo hii unaweza ukaruhusu usehtani eti tu kwa sababu vitabu vya dini vimeshindwa?

Leo hii umeweza ku comment hapa JF kwa kuwa ukiritimba wa Azimio la Arusha ulifutwa na Mzee Mwinyi
 
hii stori omba isikukute uisikie tu kwa jirani...
 
Mkuu nikiri kuwa unaeleza vizuri sana hoja zako . Nami pia nashukuru kwa elimu na ufafanuzi (This is my very honest compliment)
Naomba sasa unisaidie kunifafanulia baadhi ya maswali ambayo nimekuwa nikijiuliza.
je, miiko ya uongozi ilikuwa ni sehemu ya Azimio la Arusha au la?, Je Azimio la Zanzbar halikuendana na kuifuta miiko hiyo? ikiwa miiko ya uongozi ilifutwa na Azimio la Zanzbar, je ni kwa kiasi gani kupotezwa kwa miiko hiyo kumechangia kushamiri kwa UFISADI nchini?

Miiko ya Azimio la Arusha ilikuwa Mizuri sana kuizungumza kwny Mijadala lakini ilikuwa hautekelezeki hata kidogo hasa kwny Modern World( Pitia features za utopian Socialism) utanielewa!

Baadhi ya Miiko ya Azimio la Arusha Leo hii ingeweza kwenda kuwa challenged Mahakamani kwa kuwa Ina element ya Ubaguzi wa kiuchumi kuwabagua Wafanyabiashara ntakupa Mfano!

Azimio la Arusha lilipiga Marufuku Kiongozi wa Chama na Serikal kufanya Biashara ya aina yeyote na likasisitiza kabisa hairuhusiwi Kiongozi kumiliki Nyumba ya kupangisha

Jee Kama Mtumishi wa Umma ni Marufuku kuwa Mwanasiasa na hapo hapo Mfanyabiashara pia ni Marufuku sasa Huyo Mwanasiasa angekuwa na shughuli ipi ya kuingiza Kipato zaid ya Siasa yenyewe ?

Lazima tujue kuwa Azimio la Arusha lilitengenezwa kwa ajili ya Mfumo wa Chama Kimoja na Ndio sababu lilifanya kazi ki Chama zaid kuliko ki Serikal Ndio sababu kina Mwinyi na kina Comrade Ibrahim Kaduma wakaona haiwezekani kuruhusu Mfumo wa Vyama vingi bila kuhuisha Azimio ( Harmonisation)

Isingewezkana kushinikiza Vyama vya Upinzani kuendeshwa kwa Mfumo wa Azimio la TANU hata Siku Moja

Tusisahau kuwa Nyerere alikuwa Binadamu na Mwanasiasa hivyo sio kila neno lake ni Sheria

Aliwahi kunukuliwa akisema (1995) kuwa kwake yeye anaona Azimio la Arusha halifai kurekebishwa hata Alama ya koma kwenye lile andiko wakati Alijua kabisa hata Katiba Yenyewe ya Jamhuri ilibidi ifanyiwe Marekebisho ili kukidhi uanzishwaji wa Vyama vingi iweje Azimio libaki vile vile
 
Leo hii umeweza ku comment hapa JF kwa kuwa ukiritimba wa Azimio la Arusha ulifutwa na Mzee Mwinyi
Mwinyi ndo alileta internet? Nchi gani Duniani au ktk Afrika haina Internet?
Sorry unagawa credits zisizo na mwenyewe kwa Mwinyi.
 
Baada ya kushindwa kuongoza , ikiwa ni pamoja na kufeli kwa bajeti ya 2016/2017 kutoka 100% hadi 34% , imepangwa njama ya makusudi ya kuvuruga nchi .
Www ni p.u.m.b.av. unastahili kunyongwa mpaka kufa. Haiwezekani ukatetea uvunjwaji wa sheria hivi hivi. Kama wewe ni mmoja wao hao kwa nini uliamua kufoji vyeti vyako. Ulitegemea nini. Hata Mbinguni huwezi kukubalika kwa tabia hii
 
Mwinyi ndo alileta internet? Nchi gani Duniani au ktk Afrika haina Internet?
Sorry unagawa credits zisizo na mwenyewe kwa Mwinyi.

Uelewa wako ni Mdogo sana ndio sababu hujui kuwa tuna JF kwa kuwa tuna Uhuru wa Maoni sio Internet!

Kwani North Korea, Saudia rabia au Cuba Hakuna internet?
 
Uelewa hautakuwa mdogo kwa sababu eti wewe umesema. Hata mbuzi anadhani hujui kwa kumzuiya kula matembele ya jirani.
 
Back
Top Bottom