MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
usinambie na we unampango huo....
yashanikuta haya ndugu na ndoa sijaonja
usinambie na we unampango huo....
kidogo inabidi uact bandidu, hamkawii kutugeuza mazombie.... ila ukishabeba udada-du unapungua
yashanikuta haya ndugu na ndoa sijaonja
yashanikuta haya ndugu na ndoa sijaonja
unaniangusha banah... kweli ulishndwa kuanzisha timbwili mpaka kieleweke!!! unaweka kambi kwake, anaondoka anarud bado anakukuta ndani tena ndo huna habaree kabisaaaa
- Ndoa za huruma... Mmedumu. kwenye uchumba sugu over 3yrs. Then unamuonea huruma unamuoa tu no option...
- Umetoswa na umependaye unaokota tu yeyote aliyeko...
- Umri umeenda unachukua mwanamke yeyote aliyeko available...

zote ziko okay...pia tuoane coz tumetoka mbaali tangia primary mpk chuo....
ndoa za huruma hizi sizitaki sasa kama ni mama hurumu utajigawaje
Jamaa aliona picha mahali...akafatilia na ndoa ikafungwa soon
Picha tu, ndani ya miezi mitatu...mapenzi, uchumba na ndoaduh! picha tu!!??? hii kali
za huruma hahahaha! itakuangukia ohoo!
ulimpaje mimba kama haumpendi.....