Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Tanzania ina katiba inayoruhusu uwepo wa vyama vya upinzani. Katiba ipo wazi imeeleza majukumu ya vyama vya upinzani ikiwa pamoja na namna ya kufanya siasa zake. Pia imeeleza majukumu ya jeshi la polisi kwenye mfumo wa vyama vingi.
Kwa sasa vyama vya upinzani vimezuiliwa kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani mpaka jeshi la polisi litake. CCM ndio kinafanya mikutano kitakavyo na hakizuiliwi na Jeshi la Polisi.
Ushauri kwa vyama vya upinzani
Nadhani ni wakati sahihi wa kufungua kesi ya kikatiba ya kulizuia Jeshi la Polisi kuzuia mikutano yenu badala yake jeshi lifanye majikumu yake kama yalivyo kwenye katiba.