Jidu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,231
- 750
Huu utitiri wa vyama vingi sasa nimejua wahusika walikusudia nini,ni kuwa na vyama ambavyo havitakuwa na nguvu ili chama tawala kiendelee kutawala.leo kwenye taarifa ya habari toka tbc chama cha updp kimefanya uzinduzi wake katika uchaguzi wa igunga huku mgombea wake akionekana "amevaa miwani" na kutoa ahadi kama wimbo wa ndio mzee wa prof. J!