Vyama serikali za wanafunzi vyaweza kusajiliwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama serikali za wanafunzi vyaweza kusajiliwa?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mwita ke mwita, May 13, 2011.

 1. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,470
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  kutokana na serikali za wanafunzi vyuo vikuu kama vile DARUSO, UDOSO na vingine kutosajiliwa hivyo kukosa mamlaka ya kuwa separate legal entity kushindwa kushitaki na kushitakiwa (to sue and to be sued), kukosa haki ya kumiliki mali kisheria na kushindwa kufungua mashtaka pale wanapokuwa wameonewa,au rais anayeondoka madarakani kuwaibia wanafunzi pesa na kwa kuwa serikali za wanafunzi ziko chini ya dean of students, na ili kufnya mambo yao lazima washirikiane na uongozi wa chuo! je! kuna uwezekano serikali au vyama hivi kusajiliwa kama asasi huru kabisa ili ziweze kuwa na nguvu kisheria?
   
Loading...