Vyakula vinavyotibu cancer vipo kwenye vitabu vya Dr' Sebi

Alizaliwa Horrendous, sasa hivi ni marehemu, vyakula vyake vingi ni hivi tunavyoviona kila siku, kwa mfano nyanya anazo zikubali ni zile nyanya ndogo ndogo sana, asali mbichi, nk.
Yote hayo ni kujihangaisha tu.

Yeye huyo dr mbagua vyakula, aliishi miaka mingapi?

Kama mwili wangu ukiugua, basi nitafuata masharti ya mlo yatakayotolewa kitabibu.

Vinginevyo ni kujipatia stress zisizo na ulazima wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakula chakula aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada nzuri sana,
Nyama ikibanikwa halafu ikapikwa inakuwa haina madhara,pia kuna wagonjwa wanashauriwa kuloweka mchele kisha unapikwa kuondoa madhara...lakini swala la kuacha kula mpunga ni gumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…