Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
Hiyo si special diet?
....Yes Mkuu, kwa kazi maalum tu !!!
Hiyo si special diet?
Kati ya vitu vinavoniumiza moyo kwa sasa ni huu upungufu wa nguvu za kiume kwakweli
Yani inaniathiri sana......
View attachment 150810lishe bora kwa kazi maalumHana kitambi ni flat screen...Mmmh.. Kama hub wako ana kitambi muambie akipruni. Halafu atumie gahwa kwa wingi. Tatizo likiendelea nione faragha.
Ameen, labda utanimalizia shida zangu
ahsante, hata hao wasionazo walikuwa wanasema wapo vizuri....
Tafadhari hapo katika maandishi mekundu kuna tatizo
Kujumuisha wanaume wote sidhani kama ni sahihi.
duh kwakweli embu jaribu kutokuangalia ma-handsome uone kama hutapata kitu tofauti...i.e me!Am mo than serious kwenye hili jambo, hujui tu...
Kumbe u a not handsome!!!duh kwakweli embu jaribu kutokuangalia ma-handsome uone kama hutapata kitu tofauti...i.e me!
Ndo hivo na Hali ikiendelea ntatafuta mtu wa kunikansel
yani siku hizi kila mwanaume hana nguvu mi ntaishije sasa
Hiyo sio kazi yake ni kuvionea tu vidole....jitie dole...!hahahhahha!...ama nunua dildo.