Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Picha za x huwa inachangia SNA kudondoka nyeto nyeto inakufanya unakosa nguvu za uume misuli inalegea inaleta impotence mazoezz na vyakula pia
 
nilikuw sijui kama
mchanganyiko huu hata KE unampa ashki. Ahsante mkuu ntakuw nampa na
shemeji yako

Atumie mara mbili kwa siku kwa muda wa mwezi mmoja mpaka miwili...! Both of you will have fun....!
 
Kama hakuna hakuna hata ule mav ya ngamia bure tu.jiangalien mienendo yenu kwanza.michepuko ndan ya michepuo!
 
Hata ule nini kma mwili hauna mazoezi ni bure, mazoezi ni muhimu pia ule kwa utaratibu mzuri hpo ki2 na box
 
1397209229586.jpg
Habari wanajamvi.

Mimi natokea unyamwezini ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasini kitu inakuwa kama mti mkavu.

Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.
 
Kati ya vitu vinavoniumiza moyo kwa sasa ni huu upungufu wa nguvu za kiume kwakweli
Yani inaniathiri sana......
 
  • Mshangao
Reactions: BAK
Back
Top Bottom