Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

kunywa maji ya chooni mara tatu kwa siku, ndan ya wiki moja dushelele wima 24 hrs, tatizo ni kwamba haitalala tena mpaka unakufa.
 
koradani za jogoo wa asili na unga wa habat soda
 
juice ya....tikiti mixed with peanuts..natural viagra!
 
Kula mayai ya njiwa manga,uji wa mtama,michembe,karanga,miwa,ndizi,machungwa,sungwi pamoja asali.Mbona utaipenda!!!
 
Mimi nachofahamu HAKUNA CHAKULA CHA KUONGEZA HIZO NGUVU ZA KIUME

Kitu cha msingi ni kuangalia matendo yako mwenyewe. Mfano kama ni mtu wa kupiga MKONO sasa nguvu zisikimbie kweli wakati unajiharibu mwenyewe. Mkono ni hatari coz hata ule karanga kilo 1 kwa siku kazi bure. Mkono ni Ibilisi mbaya sana coz unakua unauabudu. Kwa wakati unaotaka wenyewe lazima Uobey hata kama uko taiti vipi.

Pili nguvu zinakimbia kwa sababu ya kula ovyo vyakula na kupitiliza viwango. Mfano kipimo cha kula mafuta(fat) kwa mwanaume ni 95g kwa siku ,lakini unakuta watu wanakula 120g kwa siku au zaidi. Sasa haya mafuta yanaenda kulundikana kwenye tumbo,mapaja,kifua n.k. Huu ndiyo mwanzo wa kuzorotesha misuli yote muhimu inayoshirikiana na viungo vya uzazi. Mfano mwanaume usipokuwa na nguvu za miguu itakuwia vigumu sana kukamilisha shughuli hasa mzunguko wa pili na tatu. Hapa watu wanasingizia kuchoka,wakati ukweli upo wazi nguvu za miguu hakuna.

Mazoezi muhimu.Fanya mazoezi kuimarisha misuli yako hiyo hasa ya miguu na tumbo. Mazoezi yanasaidia kutoa sumu mwili hasa kwa njia ya jasho. Mwingine hujijui kwa kiasi gani mwili wako umebeba sumu ndiyo maana wataalam wakatengeneza masauna na stimu ruum kwa ajili ya kuondoa jasho. Inawezekana huna tatizo kabisa ila hiyo sumu mwili inakuzingua

Bandugu,tukirudi kwenye uhalisia. Mdau wa kawaida kama mimi na wengine wengi humu lets say anayepiga milo yake mitatu ya kawaida ya kitanzania, atajipimiaje hizo 95g za fat zinazotakiwa?
 
Back
Top Bottom