Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Hakuna vyakula vya kuongeza nguvu za kiume, wewe tu epuka kupanda bajaji na bodaboda pia epuka kufanya kazi yoyote ya kujichosha yaani wewe full kutwa kujiachia kwenye kipupwe ndiyo dawa
 
Kama mtu hajui au hana jibu mimi naona ni vema kupita kimya kimya kuliko kuandika uongo au kufanya utani wakati mwenzetu ana matatizo ya kuishiwa nguvu za kiume, sio vizuri mnaweza kumsababisha mwenzenu kuamua kuwa shoga hivi hivi.
 
Kama mtu hajui au hana jibu mimi naona ni vema kupita kimya kimya kuliko kuandika uongo au kufanya utani wakati mwenzetu ana matatizo ya kuishiwa nguvu za kiume, sio vizuri mnaweza kumsababisha mwenzenu kuamua kuwa shoga hivi hivi.

Sasa wewe ndio unaleta utani tena
Ule wa ngumi; umesema watasababisha KIJANI awe nani??!
 
Sasa wewe ndio unaleta utani tena
Ule wa ngumi; umesema watasababisha KIJANI awe nani??!

Ha ha ha ha, haya bhana, chuku hizi nyuzi uzitumie , najua ni janga la watu wengi xana. Ndio chakula husaidia sana kuongeza ufanisi wa tendo la ndoa , ila sio kwa siku moja inahitaji muda kidogo kama mwenzi hivi upo kwenye dose ya huo mxoxi, mfano ugari wa dona, mboga za majani , mapilipili ya kutosha , samaki, nyama ya kuku mchemxho, na chai uliyo unga majani ya mparachichi, pia uwe na mazoea ya kula chocolate hata mara mbili kwa wiki, ukifanya hivyo na ukifanya vimazoezi kama vile squity, push up , na zoezi la ubanaji wa mikojo kitaalamu kunajina lake , do it , ukifanikiwa wajuze na wengine ,
 
Kama mtu hajui au hana jibu mimi naona ni vema kupita kimya kimya kuliko kuandika uongo au kufanya utani wakati mwenzetu ana matatizo ya kuishiwa nguvu za kiume, sio vizuri mnaweza kumsababisha mwenzenu kuamua kuwa shoga hivi hivi.

ahahahahaaaaaaaaaaaaa....halafu akishakuwa bwabwa wanaanza kupinga katiba mpya isiruhusu haki za mashoga wakati wao wenyewe ndio wamewasababishia.....

huyu asaidiwe haraka ili nchi itawalike laa sivyo mashoga watakuwa wengi wataungana na ma-cc-em kubadili katiba ya warioba waingize haki za mashoga kitu ambayo sie ma-uka-waaa hatutaki.

angalizo...asaidiwe HARAKA SANA asijekuwa bwabwa ili NCHI ITAWALIKE.....
 
KWA KUONGEZEA...KIJANA USICHANGANYIKIWE WALA USIHOFU...

NGUVU UNAZO SEMA KICHWANI PAKO HAPAJAKAA VIZURI....PUNGUZA MAWAZO NA USIKAMIE GEMU KAMA UNAENDA KUUA MTU...JUST RELAX...

PIA USIWE NI MTU WA KUAMINI ILI UWE NA NGUVU ZA KIUME LAZMA UGONGE GOLI 7...GONGA ZA AFYA 2...UKIZIDISHA BASI 3....ZAIDI YA HAPO UNAJICHOSHA NA MWISHO WA SIKU UNAKUTA HATA MWENZI WAKO HAJAFURAHIA TENDO SABABU KILA UKIPANDA UNAPIGA ---- 2 UNAMWAGA WAZUNGU MWENZIO YUPO ANAPEAPEA KAMA NGALAWA INAPITA MKONDO BAHARI WA NUNGWI.....

CHUKUA HII ITAKUFAA....

SIFA YA MWANAUME SIO IDADI YA GOLI ANAZOPIGA BALI KIASI CHA FURAHA YA MPENZI WAKE ANAPOMFIKISHA KILELENI MWA TENDO HILO...FANYA UWEZALO KUHAKIKISHA MWENZAKO ANAFIKA KILELENI..ACHANA NA HABARI YA GOLI 7....KWANI WEWE UMEKUWA MAN UTD MNACHEZA NA LA GALAXY? GOLI 2 ZA AFYA 3 MADOIDO.....NI HAYO TUUU.

at least for now i care.
 
dompo mixer nyagi... hiyo match yake!!!!! usitumie hii kwa michepuko ni chanzo kikuu cha kukuganda
 
Habari wanajamvi.

Mimi natokea unyamwezini ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasini kitu inakuwa kama mti mkavu.

Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.

Asali inasaidia kufanya u*m.. Kuwa mgumu... Akipiga na mazoezi akawa na pumz, tatizo litakwisha.
 
Mimi nachofahamu HAKUNA CHAKULA CHA KUONGEZA HIZO NGUVU ZA KIUME

Kitu cha msingi ni kuangalia matendo yako mwenyewe. Mfano kama ni mtu wa kupiga MKONO sasa nguvu zisikimbie kweli wakati unajiharibu mwenyewe. Mkono ni hatari coz hata ule karanga kilo 1 kwa siku kazi bure. Mkono ni Ibilisi mbaya sana coz unakua unauabudu. Kwa wakati unaotaka wenyewe lazima Uobey hata kama uko taiti vipi.

Pili nguvu zinakimbia kwa sababu ya kula ovyo vyakula na kupitiliza viwango. Mfano kipimo cha kula mafuta(fat) kwa mwanaume ni 95g kwa siku ,lakini unakuta watu wanakula 120g kwa siku au zaidi. Sasa haya mafuta yanaenda kulundikana kwenye tumbo,mapaja,kifua n.k. Huu ndiyo mwanzo wa kuzorotesha misuli yote muhimu inayoshirikiana na viungo vya uzazi. Mfano mwanaume usipokuwa na nguvu za miguu itakuwia vigumu sana kukamilisha shughuli hasa mzunguko wa pili na tatu. Hapa watu wanasingizia kuchoka,wakati ukweli upo wazi nguvu za miguu hakuna.

Mazoezi muhimu.Fanya mazoezi kuimarisha misuli yako hiyo hasa ya miguu na tumbo. Mazoezi yanasaidia kutoa sumu mwili hasa kwa njia ya jasho. Mwingine hujijui kwa kiasi gani mwili wako umebeba sumu ndiyo maana wataalam wakatengeneza masauna na stimu ruum kwa ajili ya kuondoa jasho. Inawezekana huna tatizo kabisa ila hiyo sumu mwili inakuzingua
Umedadafua kitaalam, asante
 
Habari wanajamvi.

Mimi natokea unyamwezini ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasini kitu inakuwa kama mti mkavu.

Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.


Wewe ni mtoto hatari sana.
 
D78C296D-0DE9-401D-9D20-35A1AE18A42A.jpeg

Kati ya vitu vinavoniumiza moyo kwa sasa ni huu upungufu wa nguvu za kiume kwakweli

Yani inaniathiri sana......
 
Back
Top Bottom