Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume

Picha za x huwa inachangia SNA kudondoka nyeto nyeto inakufanya unakosa nguvu za uume misuli inalegea inaleta impotence mazoezz na vyakula pia
 
plus kasichana ka konyagi, mziki wake balaa.
hizo zote ni cha mtoto! unafahamu Ganzi?
Ganzi ni mchanganyiko wa Valium na Konyagi plus amarula au hata hiyo Zanzi!
hata hizo hela umeshika ukimpa ili urudie pambano hakubali!
 
nilikuw sijui kama
mchanganyiko huu hata KE unampa ashki. Ahsante mkuu ntakuw nampa na
shemeji yako

Atumie mara mbili kwa siku kwa muda wa mwezi mmoja mpaka miwili...! Both of you will have fun....!
 
Kama hakuna hakuna hata ule mav ya ngamia bure tu.jiangalien mienendo yenu kwanza.michepuko ndan ya michepuo!
 
Hata ule nini kma mwili hauna mazoezi ni bure, mazoezi ni muhimu pia ule kwa utaratibu mzuri hpo ki2 na box
 
 
Kati ya vitu vinavoniumiza moyo kwa sasa ni huu upungufu wa nguvu za kiume kwakweli
Yani inaniathiri sana......
 
Reactions: BAK
Kiroba na Zanzi sidhani kama ina mpinzani !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…