Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 670
- 742
All in all mlo kamili na mazoezi kupumzika pamoja na kupata usingizi wa masaa nane aisee akili lazima zimwagikie!!
Hahhahahahahhayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
Unataka kuchekesha walionuna!!!hayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
Hahahahh nacheka pia,lakn sisi wenye ratiba 800@day imekaa vip??hayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
Siyo ndizi za wahaya, ndizi zote hata za wachagga na waganda. Acha ubaguzi.Samaki na ndizi bukoba ndizo ndizi wahaya, zinaleta sana akili Alafu ule kichwa cha ngege, mboju ,mputa, na mamba, alafu weka maziwa hataree
jiulize mwenyewe kisha ujijibu.Hahahahh nacheka pia,lakn sisi wenye ratiba 800@day imekaa vip??
Ndizi bukobaSiyo ndizi za wahaya, ndizi zote hata za wachagga na waganda. Acha ubaguzi.
Hizo ndizi Bukoba zina virutubisho gani tofauti na ndizi nyigine za uchaggani na kule kwa wabaganda? Wahaya bhna.Ndizi bukoba
Ya kubanika ndio mazuri kwa afya mkuuhayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
hayo mazoezi ya viungo huwa yanakaangwa au yanachemshwa au yanaliwa hivihivi??
haahaaa mi nayatafuna hivihivi yakiwa mabichi...Ya kubanika ndio mazuri kwa afya mkuu
hahaa mazuri sana ila ukuzidisha chumvi badala ya kuwa na afya unajikuta hospitaliHa ha ha ha ha ha ha, uchokozi huo aiseeeee.....
Halafu usile hivi hivi, weka pilipili kwa mbali
hahaa mazuri sana ila ukuzidisha chumvi badala ya kuwa na afya unajikuta hospitali
Binafsi mafuta ya zeituni na maparachichi nayatumia sana, naweza sema niko adicted nayo kwa kweli.
Mi nilikuwa navitumia kwa ajili ya sababu za kiafya, hayo mengine nimeyajua sasa japo nilikuwa nasikiasikia kwa mbaali. Ila siko bibaya kichwani. Kuna watu wengi sana wananiambiaga we jamaa ulitakiwa uzaliwe zama za akina aristotle, huku umekuja kupoteza akili yako bure kabisa(hapo ni kabla hivi vyakula sijaanza kuvitumua). Sema tu hii bongo nyoso, bongo balaa.Vipi unaona kuna mabadiliko yoyote kichwani? Kuna dalili yoyote kuwa utakuja na uvumbuzi mpya karibuni?