Vyakula vinavyoongeza nguvu na akili katika ubongo wa mwanadamu

1539203265317.png


Kula ndizi mbichi za kupika, utomvu wa ndizi ni gundi inayoshikilia taarifa zote kwenye ubongo, kama masomo bila ya kusahau,
angalia mikoa au nchi za wala ndizi wananchi wake walivyo.
 
Vipi unaona kuna mabadiliko yoyote kichwani? Kuna dalili yoyote kuwa utakuja na uvumbuzi mpya karibuni?
Mi nilikuwa navitumia kwa ajili ya sababu za kiafya, hayo mengine nimeyajua sasa japo nilikuwa nasikiasikia kwa mbaali. Ila siko bibaya kichwani. Kuna watu wengi sana wananiambiaga we jamaa ulitakiwa uzaliwe zama za akina aristotle, huku umekuja kupoteza akili yako bure kabisa(hapo ni kabla hivi vyakula sijaanza kuvitumua). Sema tu hii bongo nyoso, bongo balaa.
 
Back
Top Bottom