ndg JF kesho ntakuwa na game na shame wenu ambae nimemuangaikia mda mrefu, nile vyakula gani ili kesho nifanye kweli? nisaidieni ndugu ili tuondoe aibu hii kwa akinababa wenzangu......
Ashushie na BUSA pombe ya kimbulu'makukuru' aka kande ya mahindi isiyokobolewa itakupa nguvu kama za simba!
Atakun...a mawe aiseeekula mikate bila chai juisi wala maji, Kisha kula chumvi kilo moja then anza kazi.