Vya Bure Vinauaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vya Bure Vinauaa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kifulambute, May 24, 2012.

 1. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,507
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135


  *Jamaa kaingia Bar;*


  Jamaa: "Muhudumu, nipe kinywaji na
  mupe kila mutu humu ndani kinywaji,
  maana wakati napata kinywaji lazima
  kila mtu apate kinywaji."

  Haraka sana
  muhudumu akagawa vinywaji,

  Jamaa: "Muhudumu nipe supu na kila
  mutu humu ndani mupe supu maana
  ninapokunywa supu kila mtu lazima
  anywe supu."

  Watu wakapewa supu
  tena safari hii wakapiga makofi.

  Jamaa: "Muhudumu nipe bili, na kila mtu
  humu ndani mupe bili maana wakati
  nalipa bili yangu kila mutu lazima alipe
  yake."

  Zogo lilianzia hapooo..

   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha enzi za Bogi kwenye daily news? -When Bogi drinks every body drinks, when Bogi pays every body pays!!
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hahaaa haaaa safi sana!
   
 4. M

  MwanaCHADEMA Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iyo kali nimeipenda.
   
 5. KML

  KML JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamaa mwehu sana wewe....hahahahah
   
Loading...