Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,649
- 3,816
ha ha,, wazee wa kudownload mapenee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ok nahitaji pips 2500 tuu kumiliki hilo gari, ngoja niingie mzigoni
ha ha,, wazee wa kudownload mapenee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ok nahitaji pips 2500 tuu kumiliki hilo gari, ngoja niingie mzigoni
Ningeshangaa ningekukosa hapa!Haujibamizi. Unauvuta hadi unapokaribia kufunga(kama unauegesha) unajimalizia wenyewe.
Ni gari nzuri sana ila bado mm naamini SUV bora zaidi kwa mazingira yetu ya kiafrica ni Toyota Landcruiser ikifuatiwa na Nissan Patrol then Land Rover defender
Matrader mna mbwembwe nyinyi[emoji28][emoji28]Ok nahitaji pips 2500 tuu kumiliki hilo gari, ngoja niingie mzigoni
Hizo ndio gari mkuu kwa mazingira ya nchi zetuNakubaliana na wewe, hata Land Cruiser zenyewe siyo zote, kuna zile tropical edition kama mkonga, hazina electronics nyingi, hata defender lkn siyo hizi za sasa hivi labda zile zamani hivi td5 sahau ni bomu usipime, ukitaka kutumia 4wd unashuka kwanza tairi za mbele unlock twende kazi!!
Mkuu tangu may mpk leo m hizo pips sijui pipi 2500 hazijafika tu mkuu uvute lindinga.Ok nahitaji pips 2500 tuu kumiliki hilo gari, ngoja niingie mzigoni