Vuvuzela Comedy Show ya leo ya clouds Tv

Doreen22

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
470
80
Yaani leo kipengele chake cha "Imekubamba", ilikuwa noma, yaani kumbe kuna waume wengine mabishoo waoga hivyo, mtu anazinguliwa kitu cha kutisha, anakimbia ofisi nzima!, lol
 
Clouds watafute kitu kingine, sijaona maana ya comedy pale.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyu Evas Bukuku na the Comedy za kitoto. Ubunifu zero. Hicho kipengele cha "nimekubamba" kina utoto mwingi, na pengine kinaweza kumsababishia mtu mshtuko wa kuweza kupata presha bila sababu. Hakuna cha kujifunza kwa ujumla. Vichekesho vya kulazimisha vitampotezea umaarufu asipokuwa mbunifu kujua watazamaji wake wanahitaji nini!!
 
Back
Top Bottom