Vuta N'kuvute Official Trailer

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,411
Hii ndio Official Trailer ya Filamu ya Vuta N'kuvute (Adaptation ya ile novel ya Vuta N'kuvute by Shafi A. Shafi)



Filamu ilikuwa Directed & kuandaliwa Amil Shivji (Kijiweni Production) akisaidiana na Big World Cinema.

What do you all think?

#vnv
#tiff
#kijiweniproductions
#bongomovies
#localstoriesinternationallevel
 
inaonekana kali sana. Sisikii yale makelele ya kina Ray et al, yanayofuatiwaga na midundo ya kushtusha. Bongo tukiwa na quality hii tutafika mbali sana.
 
27 May 2022

HATIMAYE FILAMU YA VUTA NIKUVUTE YAZINDULIWA




Imegharimu dola 200,000 sawa na zaidi ya Tsh 400,000,000 na imechukua miaka minne kuikamilisha.

Vita Nikuvute Imeshinda tuzo tatu kimataifa za kule Seattle USA, Burkina Faso 🇧🇫 na Rwanda.

Imeleta mapinduzi katika sekta ya filamu za Bongo Tanzania na kimataifa

Bajeti ya sinema hii imechangiwa na wafadhili mbalimbali wa kimataifa. Adam Shafi mtunzi wa kitabu Kuli ndiyo aliyewavutia waandaaji wa sinema hii kwani uandishi wake umerahishisha kazi kwa kuwa kitabu cha Kulu ni kama simulizi ya movie. Pia shukrani zimeenda kwa Mkuki na Nyota wachapishaji wenye hati miliki ya kitabu Kuli ambao hawakusita kutoa ushirikiano kama wadau.
 
Kitabu cha hii riwaya nilisoma niko form three. Nikakutana nacho A level.

Movie yake itabidi tu niitafute. Tuelekezane inapopatikana.
 
Back
Top Bottom