Rais wetu ni sadistKwani Rais haoni kuwa watu wake maskini wanateseka kwa yeye kuwepo madarakani madaraka amepata sasa kwanini asiwaachie watu wasio na makosa hao?
Rais wetu ni sadistKwani Rais haoni kuwa watu wake maskini wanateseka kwa yeye kuwepo madarakani madaraka amepata sasa kwanini asiwaachie watu wasio na makosa hao?
Kwa hiyo raisi ndio aliwatuma kufanya makosa?Kwani Rais haoni kuwa watu wake maskini wanateseka kwa yeye kuwepo madarakani madaraka amepata sasa kwanini asiwaachie watu wasio na makosa hao?
Shughuli ya mitano tena inaendelea!View attachment 1639335
Nani kakwambia wana makosa?Kwa hiyo raisi ndio aliwatuma kufanya makosa?
Au huyu raisi ndo wa Kwanza kuingia madarakani Kisha watu wakapata kesi?
Fateni Sheria uone Kama utakutana na hayo Mambo.
Ukimsaka Simba ndani ya kichaka lazima uwe tayari kupambana nae.
Hata hao huenda walijiandaa yanayotokea.
Mshawishi mkubwa yupo ubelgiji anakunywa mvinyo na nyama choma na watoto wake wako shule ila hao wapi sero.
Pamoja na kwamba hakuna mantiki kwa haya uliyoandika hapa; kuna tofauti dhahiri katika unayoandika sasa na wakati ule, siku chache zilizopita.Mambo ya Halima James Mdee yamevuruga sana!
Sehemu nilipopigia mimi kura yaani hakukuwa na shida yoyote na wapinzani walishindwa kihalali kabisa!
Sheria ifuate mkondo wake.Wala tatizo siyo hakimu mkuu, tatizo ni shughuli ya mitano tena ipo kazini!
Sheria ipi inaruhusu wahanga wa siasa za upinzani kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi?Sheria ifuate mkondo wake.
Swala la kusema kuwa wapinzani ndo wahanga zaidi,ni swala la hisia zako tu mkuu.Sasa kama ni kweli wamehusika,unataka wasihukumiwe kwakua ni wapinzani?Sheria ipi inaruhusu wahanga wa siasa za upinzani kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi?
Naona kama hata kule kujizuia wasionekane kuwa 'extreme' sasa kumeondoka.Halafu kuna wapuuzi walikuwa wanasema cdm waende mahakamani wakafungue mashtaka kama wameibiwa kura, kisha mahakama ndio hizo zinaagizwa na wahuni wachache wa serekali jinsi ya kuendesha kesi.
Mkishinda kesi mnasifia kuwa mahakama zipo huru na imetenda haki lakini ukiona mmebanwa mnasema Tanzania hakuna mahama iliyo huru ni ajabu kabisa.Tanzania hamna mahakama huru tena. Ndiyo maana hakuna hata mtu mmoja wa upinzani amefungua kesi kuoinga matokeonya uchaguzi mwaka huu.
Unasubiri nini kurudi kwenu Rwanda mkuuHawezi kufungua kesi kwenye mahakama zinazoendeshwa kama kangaroo court. Bora hata zile za Gachacha kule Rwanda kuliko hizi zenu
Mkishinda kesi mnasifia kuwa mahakama zipo huru na imetenda haki lakini ukiona mmebanwa mnasema Tanzania hakuna mahama iliyo huru ni ajabu kabisa.
Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi
Hakimu Mfawidhi Bi.Mahumbugwa alikuwa anawasiliana na wakili wa serikali kabla ya kusoma hukumu hii ambayo imefanya ndugu wa washtakiwa kubaki midomo wazi, kabla ya hukumu ya leo Hakimu huyu huyu na mahakama hii ilitoa uamuzi Novemba 9 kuwa ina mamlaka ya kutoa dhamana kwa kuwa shtaka lenyewe halina zaidi ya 10mil.Ni mara ya kwanza kwa hakimu wa mahakama kutoa hukumu mbili tofauti kwenye shauri moja
Kisheria baada ya hukumu ya kwanza upande wa Jamhuri ulipaswa kukata rufaa kupinga uamuzi wa mahakama lakini badala yake hakimu amewekewa shinikizo na Serikali kufuta hukumu ya awali
Baada ya ndugu kusikia hivo walizingira mahakama wakitaka haki itendeke kwa ndugu zao ambao ndio watafuta mkate wa kila siku wa familia,baadhi ya washtakiwa wana watoto wachanga!
Mawakili wa upande wa Wafuasi wameeleza kuwa wataenda mahakama kuu kuomba dhamana kwa ajili ya wateja wao! Jopo hili linaongozwa na Wakili maarufu Jijini Arusha Sheck Mfinanga,pamoja na wakili Jebra Kambole na Winnie
Ndugu wa washtakiwa walionekana mahakamani hapa wakiwa na jaziba kali kiasi cha kutishia usalama wa mahakama,na wamesema siku ya shauri watakuja kwa wingi kuonyesha mshikamano,aidha wametaka Mahakama itende haki kwa kuwa ndugu zao wamebambikiziwa kesi za kisiasa
My take,
Mahakama inapaswa kutoa haki mapema maana haki iliyocheleweshwa ni haki iliyonyimwa.
Huyu hakimu aache ubabaishaji atende haki maana kuna siku uvumilivu utawashinda watu