Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Lowasa aliondoka na mtandao pesa na wasaka ikulu naomba wote maslai wamfuate,
 
Mtu anashika kitofa kama iPhone 6 halafu anakiweka chini taratiiibu, hamna ugomvi hapo wanacheza tu.
 
Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya viongozi na wanachama kutaka Katibu wa zamani Ezekiel Mollel abaki wakati Chama cha mapinduzi kimeamuru katibu huyo arudi makao makuu ya chama jijini Dar es Salam

Katibu hajiweki huwekwa hawezi kugomea mamlaka iliyomweka akayaweza.Anaambiwa aripoti dar hana ujanja aachie ofisi akabidhi huyo mpya.Naona kama anataka alete mtafaruku ndani ya UVCCM hataweza.Kashindwa Lowasa kutikisa chama atakuwa Yeye MOLLEL?

Yaani atafukuzwa chamani mchana kweupe
 
haha pole sana mkuu naona bundi ametua CCM mnahaha kumdhibiti.
 
Ofisi za Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Arusha zimefungwa na wanachama wa CCM mkoani kutaka Katibu mpya Said Gao kupewa ofisi
Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya viongozi na wanachama kutaka Katibu wa zamani Ezekiel Mollel abaki wakati Chama cha mapinduzi kimeamuru katibu huyo arudi makao makuu ya chama jijini Dar es Salam

Video ni mtiti wa wanachama hao wakipigana kuingia ofisini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji16] HATA CCM KUMBE WANA MAISHA MAGUMU AJIRA HAKUNA NAO MATAPELI ACHA WAISOME NO
 
haha pole sana mkuu naona bundi ametua CCM mnahaha kumdhibiti.

Wala sio bundi hao ni TEAMLOWASA waliobaki CCM!! MUDA SI MREFU tutawatimua watakuja huko kwenu.Hapo wako wakifanya maigizo tu baada ya kuhujumu CCM ishindwe Arusha wakati wa uchaguzi mkuu.SASA wako wakionyesha maigizo hao ni CHADEMA waliovaa nguo za CCM!!!

Angekuwa CCM ile tu kushindwa uchaguzi kwa CCM ilitakiwa ajiuzulu hata kesho yake ni ushahidi kuwa hawezi kazi sababu kazi ya kiongozi wa CCM hupimwa kwenye uchaguzi.Huyo kashindwa kazi anang`ang`ania ofisi!!! Anatakiwa apishe mchapa kazi mwingine.Namhurumia na hao CHADEMA wenu wanaojiita wanachama wa UVCCM wanaozuia mpya asiingie kitakachowapata wasilaumu mtu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] HAMKOSWI VISINGIZIO
 
Ofisi za Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Arusha zimefungwa na wanachama wa CCM mkoani kutaka Katibu mpya Said Gao kupewa ofisi
Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya viongozi na wanachama kutaka Katibu wa zamani Ezekiel Mollel abaki wakati Chama cha mapinduzi kimeamuru katibu huyo arudi makao makuu ya chama jijini Dar es Salam

Video ni mtiti wa wanachama hao wakipigana kuingia ofisini

Adui muombee njaaa kali hiyo hali ingekuwa ipo cdm au ukawa kwa ujumla uzi huu wangejaa sana lumumba
 
Ofisi za Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Arusha zimefungwa na wanachama wa CCM mkoani kutaka Katibu mpya Said Gao kupewa ofisi
Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya viongozi na wanachama kutaka Katibu wa zamani Ezekiel Mollel abaki wakati Chama cha mapinduzi kimeamuru katibu huyo arudi makao makuu ya chama jijini Dar es Salam

Video ni mtiti wa wanachama hao wakipigana kuingia ofisini

Cc:kanone
Cc:lizaboni
 
Back
Top Bottom