Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Alafu nawashangaa sana uvccm kugombea ofisi wakati mkoani Arusha ccm yamebakia majengo na milingoti tu
 
Familia ya panya, kila mtu huchukua chake mapema,
Ni kweli nimepita karibu na ofisi zao zinalindwa na ma bouncer waliovaa mavazi ya Ccm na kofia kubwa na miwani mweusi. Ofisi na kufuli kuubwa....
Vipi yule tajiri wao hajafika kuwaamulia?
 
Back
Top Bottom