Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Katibu hajiweki huwekwa hawezi kugomea mamlaka iliyomweka akayaweza.Anaambiwa aripoti dar hana ujanja aachie ofisi akabidhi huyo mpya.Naona kama anataka alete mtafaruku ndani ya UVCCM hataweza.Kashindwa Lowasa kutikisa chama atakuwa Yeye MOLLEL?

Yaani atafukuzwa chamani mchana kweupe
Hapa point kubwa ni UVCCM ARUSHA wanatoana macho
 
Wanagombania ulaji tu ,hawana wabunge hawana madiwani wa kutosha ,wanapigania nini?
 
Hawa ndio baadaye wanateuliwa kuwa ma DC ? hii ni aibu sana ! Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuepuka ccm , kiukweli sijawahi kuwa mwanaccm hata kwa masaa 24 , asante Mungu .
Mkuu mungu daima ujibu dua na vilio vya wanyonge na wapenda haki na uwaadhibu kwa viyendo wale waendao tofauti na hapo juu
 
Wala sio bundi hao ni TEAMLOWASA waliobaki CCM!! MUDA SI MREFU tutawatimua watakuja huko kwenu.Hapo wako wakifanya maigizo tu baada ya kuhujumu CCM ishindwe Arusha wakati wa uchaguzi mkuu.SASA wako wakionyesha maigizo hao ni CHADEMA waliovaa nguo za CCM!!!

Angekuwa CCM ile tu kushindwa uchaguzi kwa CCM ilitakiwa ajiuzulu hata kesho yake ni ushahidi kuwa hawezi kazi sababu kazi ya kiongozi wa CCM hupimwa kwenye uchaguzi.Huyo kashindwa kazi anang`ang`ania ofisi!!! Anatakiwa apishe mchapa kazi mwingine.Namhurumia na hao CHADEMA wenu wanaojiita wanachama wa UVCCM wanaozuia mpya asiingie kitakachowapata wasilaumu mtu
Mwenyekiti wa mkoa umoja wa vijana tapeli maarufu lazma mtoane ngeu mwaka huu fc njaa kali upo
 
Ofisi za Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Arusha zimefungwa na wanachama wa CCM mkoani kutaka Katibu mpya Said Gao kupewa ofisi
Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya viongozi na wanachama kutaka Katibu wa zamani Ezekiel Mollel abaki wakati Chama cha mapinduzi kimeamuru katibu huyo arudi makao makuu ya chama jijini Dar es Salam

Video ni mtiti wa wanachama hao wakipigana kuingia ofisini

Wacha wachapane tu hao ni ndugu moja.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji14] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom