Vurugu za mbeya zime athili Dare es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu za mbeya zime athili Dare es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Nov 12, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,294
  Likes Received: 4,716
  Trophy Points: 280
  Hapa dar es salaam hali imekuwa tofauti kutokana na vurugu za mbeya.
  Kwa sasa hivi viazi mviringo vya chips vimeadimika na bidhaa nyingine za mbeya.sababu kubwa ni kwamba hamna magari yanayotoka mbeya.gunia la viazi ilikuwa tsh58000-61000/- lakini leo gunia ni tsh 78000-80000/-.iwapo hali itaendelea kuwa tete bei inaweza kuongezeka.
  chanzo.masoko ya dar es salaam.mia
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  Wanambeya wacha waendelee kudai haki yao!! Ilitakiwa tuungane nao lakini kwa vile bado wengi wetu tunaona ni mipango ya mungu.
   
 3. s

  sanjo JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 939
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Dar haiwezi kuwa salama kama baadhi ya maeneo ya nchi hayako salama. Sehemu mbalimbali za nchi hii zinategemeana kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,210
  Trophy Points: 280
  Dawa yake gunia lifike hata 150,000/= magamba watie akili
   
 5. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 15,485
  Likes Received: 8,271
  Trophy Points: 280
  bei ya viazi napenda ifike 450,000/ ili uwezo wa kuhonga chips upungue na wanawake wa town wafeel, ili isiwe ngumu kuwaambia ccm haifai, POLENI MBEYA NA HONGERENI PIA!!!
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  na waonea huruma tu watoto wa hosteli IFM ndio wanaopenda chips sana hasa nyakati za usiku..
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Hatutatulia mpaka kitakapoeleweka!Mikoa mingine ituunge mkono,haya magamba yanaharibu ngozi ya nchi yetu!
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wananchi wa Dar ni waoga sana wangetumia na wao hiyo njia kuandamana
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Zime athili ndio nini?
  Faizafoxy naomba uje kunifafanulia!
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,623
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  dah! Poleni sana ndugu zetu. Nalog off
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,802
  Likes Received: 19,312
  Trophy Points: 280
  Si kajifundisha Kiswahili alipoanza darasa la kwanza, ndio athari zake hizo.
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,093
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  ndiyo tz ya mwalimu nyerere kweli hiyo?
   
 14. N

  Noboka JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hata kama mnalipwa na Nape mtajipunguzia heshima, humu ndani watu hawana shida na kiswahili chenu, hiyo kitu inaitwa Faizafoxy kafundishe chekechea huko, issue hapa ni matatizo yaliyoko Mbeya watu wanaelekea kujinjana nyie mnaleta mizaha humu. Bora kama wangekomaa halafu chipsi zikakosekana hapa ndiyo mngejua na viswahili vyenu kama vina maana.
   
 15. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,996
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Viazi adimu hata kabla ya vurugu, sio msimu wa viazi huu labda kama ndio umekwenda leo sokoni
   
 16. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,519
  Likes Received: 2,440
  Trophy Points: 280
  Wrong analysis.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Poleni sana wandugu, kila kitu kina gharama.
   
Loading...