Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Jaman Mungu gani anategemea askari wenye nyama(mavumbi) na damu wamtetee? Mungu wa kweli hujitetea mwenyewe, wala hahitaji kutetewa na mtu aliyemuumba. Mimi naamini kufanya hivyo ni kushusha hadhi ya MUNGU na kuapndisha hadhi ya binadamu

Wakwao hawezi kuongea ndio maana wanaamua kumpigania yaani hajiwezi Mungu asiye na miujiza yaani we acha tu
 
mtoto wa miaka mingapi? kama yuko chini ya miaka 7,basi hao waliondamana watakuwa na mtindio wa ubongo na FFU wawapige mabomu na vitu vizito.

Na kama ana umri zaidi ya hiyo miaka saba nini kifanyike? mbona umeishia njiani!!
 
Mleta mada wacha uwongo sio mtoto alie kojolea ila nimtu mzima, tukio lenyewe ilikuwa jana Usiku. Kabla mtuhumiwa hakupewa adhabu na waislam gari la Polisi likamtorosha.

Inaonekana kabisa ni tukio lilopangwa.
 
hapana....hatuendi hivyo....kila mtu ana haki....hatufundishwi katika maandiko kudharaulina....na wala kuingiliana katika imani.....kama ni wakristo wamefanya hivyo....nalaani sana hicho kitendo.....ni wapumbavu.....

Preta njoo nikonong'oneze
 
hapana....hatuendi hivyo....kila mtu ana haki....hatufundishwi katika maandiko kudharaulina....na wala kuingiliana katika imani.....kama ni wakristo wamefanya hivyo....nalaani sana hicho kitendo.....ni wapumbavu.....

Napenda sana comments zako, hauko biased, naamini hivi ndivyo tunavyotakiwa kuishi kwenye jamii hii ya dini mchanganyiko- hakuna aliye mbora kwenye nchi hii zaidi ya mwenzake. Matusi haya tunayotupiana ni cheche za hatari mno!! Kila mwenye masikio na asikie na kila mwenye macho na aone!!
 
Mleta mada wacha uwongo sio mtoto alie kojolea ila nimtu mzima, tukio lenyewe ilikuwa jana Usiku.kabla mtuhumiwa hakupewa adhabu na waislam gari la Polisi likamtorosha.inaonekana kabisa nitukio lilopangwa.

Hii ni nchi yenye utawala wa sheria,waislamu wala wakristu hawana haki ya kutoa hukumu na kama mnaongeaga hivyo basi mnajidanganya tu!!
 
hali ni mbaya sana huko kizuiani waislamu wamehamasishana wamejaa kituoni wanataka kumtoa mtuhumiwa wammalize FFU wameshafika ni mabomu kwakwenda mbele! waislam wanampigia ponda atoe maelekezo! ATAKACHOSEMA NDIO WATAKACHOFANYA
 
hapana....hatuendi hivyo....kila mtu ana haki....hatufundishwi katika maandiko kudharaulina....na wala kuingiliana katika imani.....kama ni wakristo wamefanya hivyo....nalaani sana hicho kitendo.....ni wapumbavu.....

:lol:Umeambiwa ni mtoto, na hatujajua ni wa umri gani. Akiwa na umri ambao kisheria hawezi kushitakiwa, suala la awe ni mkristo au ni muislamu halitakuwepo tena :lol:
 
mi uwa nashangaa sijawai kusikia maandamano sababu ya yesu au mtume wa christian kukashifiwa,uwa tunamuachia mungu yeye ndio ataukumu,lakin wenzetu kitu kidogo maandamano,kuchoma mali na kuua
 
hali ni mbaya sana huko kizuiani waislamu wamehamasishana wamejaa kituoni wanataka kumtoa mtuhumiwa wammalize FFU wameshafika ni mabomu kwakwenda mbele! waislam wanampigia ponda atoe maelekezo! ATAKACHOSEMA NDIO WATAKACHOFANYA
Kwani Ponda ndio mungu wao?
 
Najiandaa kwenda msikitini imebidi nicheke watu acheni uzushu mtoto au kuna kitu kingine
 
Jihaad haiko mbali

why jihad....ni kitu gani hasa kimetokea watanzania tumekuwa hivi....? tumeishi kwa amani na ushirikiano wakristo na waislamu miaka yote.....tuna ndugu waislamu/wakristo.....tuna wapenzi waislamu/wakristo....je tuuwane kisa dini.....NO....Abdulrahman wangu simuachi labda kije kiama.....
 
Back
Top Bottom