Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sajosojo, Oct 12, 2012.

 1. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Niko kwenye dalala natokea mbagala kwenda posta nasikia waislaamu wanaandamana na police wanajalibu kuwatawanya kwa kupiga mabomu ya machozi kisa mtoto kakojolea msaafu.

  - Vurugu sasa zimehamia Chang'ombe karibu na Uwanja wa Taifa kwenye kiwanja kilichouzwa na Bakwata.
  - Polisi wamefika wameona hakuna tatizo Waislamu wamevunja ukuta wameweka jukwaa wanahutubia; polisi wapo jirani wanawafuatilia
  PICHA:

  [​IMG]
  Wakiwa kituo cha Polisi

  [​IMG]
  Kanisa likiungua

  [​IMG]
  Askari wa jeshi la Polisi kikosi cha kutuliza ghasia wakiwadhibiti vijana waliokuwa wakileta vurugu eneo la mbagala kufuatia kijana mmoja anaesemekana anasoma kidato cha kwanza kukojolea mkojo Quraan na kusababisha hasira kwa waisilamu hassa vijana ambao walitapakaa mitaani na kuanza kuleta vurugu.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Hali ilikuwa kama inavyoonekana pichani
   

  Attached Files:

 2. m

  mujitahid Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtoto wa umri gani
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Mkojo wa mtoto sio issue hapo
   
 4. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Doh hiyo ni hatari.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ilikuwaje mpaka mtoto akojolee msahafu.....?
   
 6. J

  John W. Mlacha Verified User

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  hahaha kumbe mtoto bana mimi nkajua kitimoto ndiye kaukololea bana . Aa kama mtoto basi issue ndogo tu hiyo
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Jaman Mungu gani anategemea askari wenye nyama(mavumbi) na damu wamtetee? Mungu wa kweli hujitetea mwenyewe, wala hahitaji kutetewa na mtu aliyemuumba. Mimi naamini kufanya hivyo ni kushusha hadhi ya MUNGU na kuapndisha hadhi ya binadamu
   
 8. p

  promi demana JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa dawa ni kuwawekea uongozi wote wa juu uwe wa kikrsto tu na ibidi Pengo ndo awe Rais so nadhan hapo ndio watatulia.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hapa mkuu usirukie kwenye conclusion.....tujue kwanza ilikuwaje....kama ni wakristo wamefanya hivyo wachukuliwe hatua....ni lazima dini zote tuheshimiane.....kila mtu ana uhuru wa kuabudu.....
   
 10. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  JF wakati mwingine raha sana aise, comment zingine hahahahahaahahaaaa:A S 465:
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanaandamana kwenda kwa nani? Nani atapokea maandamano hayo.
   
 12. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mtoto wa miaka mingapi? kama yuko chini ya miaka 7,basi hao waliondamana watakuwa na mtindio wa ubongo na FFU wawapige mabomu na vitu vizito.
   
 13. Y

  Yetuwote Senior Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaandamana kwenda wapi? Wanataka kutoa ujumbe gani?
   
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kumcha mungu ni chanzo cha maarifa
   
 15. J

  John W. Mlacha Verified User

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Obviously nyumbani kwao huyo mtoto aliyeukojolea msahafu na inawezekana shekhe atasoma na labadiri hapo hapo nyumbani kwao
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hapana....hatuendi hivyo....kila mtu ana haki....hatufundishwi katika maandiko kudharaulina....na wala kuingiliana katika imani.....kama ni wakristo wamefanya hivyo....nalaani sana hicho kitendo.....ni wapumbavu.....
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  ndo maana wakenya wanakuja bongo kuchukua kazi zetu...maana wabongo wenyewe badala ya kufanya kazi wako bize wanaandamana
   
 18. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kama ni kweli wameandamana basi naiunga mkono 100% ile filamu yetu ya nonsense.....,,,
   
 19. J

  John W. Mlacha Verified User

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Wewe asubuhi ulivyokuwa unashangilia redio imaam ilivyomkejeli mama maria . Enhe mkuki mtamu wa kitimoto tu si ndio? Ukitaka kuwakejeli wakristo nenda radio imaam
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa nini kila mara waislamu wanapiga kelele za kuonewa?je ni kweli wanaonewa au ni ukorofi?au ni jamii dhaifu ndiyo maana wanaonewa?
   
Loading...