Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,830
- 21,071
Wahouthi wameuteka mlango bahari wa Bab al Mandab unaotenganisha Afrika na Asia na kupitisha asilimia 7 ya mafuta duniani. Bei imepanda kufikia dola 105 kwa pipa? Wahouthi wanasema meli za SA hakuna kupita.
Wahouthi hao hao wameipiga mabomu Saudi Arabia. Saudi Arabia kaomba msaada US, Trump kagoma maana naye kabanwa. Saudi ana mkataba wa Ulinzi na Uturuki na Pakistan. Wametulia wanasikilizia kumsaidia maana Iran anaweza kuwasaidia Wahouthi kwa njia itakayowaumiza sana.
So Iran ni kama anacontrol Milango ya Hormuz na Bab al Mandab na huku bado anawapiga mabomu waarabu. Turkey na Pakistan wanaweza kuingia ulingoni.
Vurugu zimekuwa kubwa sana.