Vurugu kubwa kariakoo

piga hao na bado miafande uchwara nadhani sasa hv migambo watakimbia jiji uwiii wakome kwa kukurupuka..
 

habari ni ya kweli, pia hao FFU walikuwa kwenye pikipiki na magari wakizunguka k'koo huku wakishangiliwa na wamachinga..nimeshuhudia japo sijajua chanzo hasa ninini
 
Yaani hapo umeona umeitetea Serikali ya magamba kweli kumbe umeivua nguo....Mgambo na polisi..Kikwete ana kazi jana ilikuwa polisi na wananchi, kesho ni ikulu na wanajeshi..hivi kikwete kasharudi?

Akili za kichadema bana kila sehemu siasa.
 

Sio vurugu mkuu ni kutiana AdABu................... maana tushachokaaaaaaaaaaaaaaaa!!!:israel:
 


Naipendaga sana TAnZAnia ni moja ya inchi za aJaBuuuuuuuuu!!
 
Taarifa zikamfikia mkuu wa kituo. Akawapa mamlaka wamachinga woote wa kariakoo kuwasaka mgambo wa city popote walipo na wampelekee kituoni, bila kujali wako katika hali gani.

Post hii inaanza kunitia wasi wasi wa hii story yako


ushaona eeeeeeh!!?:majani7:
 
Akili za kichadema bana kila sehemu siasa.

Acha kuonyesha upumbavu wako wewe, tia akili kichwani badala ya kukurupuka na kuandika uozo.
 

Mimi simooooooooooooo ................ lakini mmmhhhhhhhhhh!!!
 
Kwa staili hii kitanuka muda si mrefu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kung'uta wamezd uonev wakikamata wat wanakula hadi ukoko wa ubwabwa pumbav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…