Vurugu kubwa kariakoo

mmh...serikali hii ina vituko! bora iwekwe kwenye Guiness Book!
 
ngoshwe, Aaaa! mi sinywi ya baridi bana, lete na safari ya moto na kiroba!
 
Last edited by a moderator:
Vita huanza kidogo lakini ikisambaa hakuna atakayeizima. Mgambo wamekuwa wakiwaonea wamachinga wakubwa wanajua lakini hawajali. Nawasihi mgambo wa city wafuate sheria waache uonevu. Nguvu ya umma si ya kuchezea wanyonge wakishindwa kuvumilia.

Machinga muda wote wanatamba kuwa leo mgambo wamekutana na NGUVU YA UMMA.
 
hali hii Serikali ziko ngapi hapa mtaa wa nyamwezi maana ndo njia yao- mbio mbio wakitaka haki yao
 
Utu tubia tunashukaga,......dah, natutamani..ngoja nirudi duniani kwanza.

Inamaana umepaa na Apolo mpaka kwenye ile kitu ya angani inayotoa mwanga wa asili usiku, au kwa jina lingine ile ambayo ikifika kama leo wafanyakazi kesto maziwa zinawakoma? Utuletee zawadi mwayego!
 
Mgambo wa jiji wamepewa kipigo cha mbwa mwizi. Msako wa wengine unaendelea kwa kasi. Na raia. More to follow

Nipo eneo la tukio,nimedadisi kwa wamachinga hapa..isue ni kwamba askari kanzu aliwakuta mgambo wanamshurutisha raia,yeye akawauliza huyo amefanya nini mbona mnashurutisha akawambia inatakiwa mumkamate kiutaratibu,hao mgambo wa city wakamwkwida jamaa na kumuhoji wewe wauliza kama nani..jamaa akawajibu mimi mi askari,kama wewe ni askari
Nenda tuache na kazi yetu huku wakiwa wamemzunguka na wakatishia kumpiga...Afisa wa police akaenda msimbazi kuripoti kuwa mgambo wametishia kumpiga na kumpola silaha,Mkuu wa kituo akaagiza wakamatwe wote waliofanya hicho kitendo,ndipo wakaitwa polisi jamii kuwakamata popote walipo.na wamachinga wamepewa siku 9,za kuwakamata mgambo..
Na mgambo mmoja amenusurika kuchomwa moto.
 
Just share this
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1359121277514.jpg
    44.4 KB · Views: 114
  • uploadfromtaptalk1359121311236.jpg
    40.1 KB · Views: 126
  • uploadfromtaptalk1359121321329.jpg
    44.6 KB · Views: 145
  • uploadfromtaptalk1359121336188.jpg
    48.3 KB · Views: 150
  • uploadfromtaptalk1359121350536.jpg
    36.1 KB · Views: 123
Tulia uandike kitu kieleweke ndo uturushie bhana, sasa hapa ndo umesema nini?

Ukitaka kitu kilicho tulia, subiri kesho magazetini...acha kukatisha tamaa watu wanaoleta habari hapa JF kasha sema 'More to follow'
 

Acha uongo wewe...

Kilichotokea ngoja niwafahamishe wanabodi. Leo ni mapumziko kiserikali kutokana na sikukuu. Machinga siku kama hizi huwa wanakuwa free kupanga bidhaa zao kwa kuwa mgambo wa city hawapo.

Kilichotokea mgambo wa city wakajikusanya kwenda kutafuta pesa kwa machinga, polisi mmoja akijitokeza na kuwambia mgambo hebu waachieni leo wafanye kazi sikukuu.

Basi wale mgambo wakampiga yule askari. Yule askari ndiyo akawaita askari wenzake ndiyo ikaanza piga nikupige wale mgambo wakakimbia, machinga wakaingia mitaani kuwasaka migambo kisha wanawaita polisi.

Mgambo wote wamekimbia kariakoo.
 
Yaani hapo umeona umeitetea Serikali ya magamba kweli kumbe umeivua nguo....Mgambo na polisi..Kikwete ana kazi jana ilikuwa polisi na wananchi, kesho ni ikulu na wanajeshi..hivi kikwete kasharudi?
 
Mgambo nao zamu yao wamezidi kuwaonea wamachinga
 
Sasa kama leo ni mgambo na polisi hapa nani kachochea ni chadema pia....?
 
Duh hali sasa kila mtu mbabe kwenye eneo lake
 
...teh teh...mkuu kariakoo nzima upo peke yako?Hakuna mwingine wa kuthibitisha haya!!
 
kazi nyingine zinahitaji bima kubwa ya maisha - kama za uanamgambo na upolisi!
 
A-Town itokee ruhusa kama hiyo ndani ya dakika kumi tu
 
...kamanda wapi hiyo jomba..
Kamanda, mambo ya Kitunda, Banana, Kipunguni kwa wauza mayai Mulla. Huku hata TRA, SUMATRA na EWURA ni magheshi! Tupo hapa nyuma ya kituo cha Banana Mulla, unapata kitimoto mchicha wangu! Achaa acha kabisa aisee bora afe askari polisi kuliko Mkurya mmoja raia mulla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…