Vurugu kubwa Arusha stend ya mkoa

Vurugu kubwa Arusha stend ya mkoa

Kunawatu wanatapik tu hivi na fujo zilizotokea kariaakoo nako pia ni lema..
 
hawa mgambo hata mimi nina hasira nao sana siku wakingia kwenye mitaa yangu watakiona cha mtema kuni.

Wakiwa wanakula kiapo mbele ya mkuu Wa mko/wilaya huwa wanaambiwa eti na wao ni wanajeshi,kuna siku watachezea kichapo cha kufa mtu
 
Kuna fujo znaendelea kati ya machinga na mgambo wa jiji..mgambo wamepgwa sio kawaida,polisi ndo wameingia kusaidia hapafai watu wamefunga maduka wananchi wanakimbia kila mtu anatafta kujiokoa
Mimi nashangaa. Mgambo wanaokuja hawazidi 20, machinga wanashindwa kuua hata watatu?!
 
Lema ni janga la taifa hyo bang alyovutaga haiish kchwan..wahun wenzake hao apo watalii wakchukua pcha ni hatar

Yaani wewe ndiye Mbulula namba moja Tanzania.

Ina maana na zile vurugu kule Kariakoo DSM kati ya Mgambo na Wamachinga, utazielezeaje????

Kwa sababu DSM kuna mkuu wa nchi. Vipi imekaaje hapo?????
 
Kuna fujo znaendelea kati ya machinga na mgambo wa jiji..mgambo wamepgwa sio kawaida,polisi ndo wameingia kusaidia hapafai watu wamefunga maduka wananchi wanakimbia kila mtu anatafta kujiokoa

Wache wauane chadema hao
 
Wache wauane chadema hao

Kuna watu mna roho mbaya sana, hivi ulishakaa ukakaa ukatafakari ya kwamba hii dunia unapita tuu na haina haja ya kuwa na chuki na binaadamu mwenzako hata kama mmetofautiana kiimani au kiitikadi nk.
 
Lema ni janga la taifa hyo bang alyovutaga haiish kchwan..wahun wenzake hao apo watalii wakchukua pcha ni hatar

Na zile vurugu za Kariakoo za Machinga na Polisi ni Lema pia? Tuna janga la kitaifa kwa watu wenye utashi mdogo kama wako
 
Back
Top Bottom