Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

Hizo porojo za kutafuta sababu.
Mkuu nakwambia watu hawa washenzi sana,wanalipwa na CHADEMA kueneza uongo tu na uzushi, si wengi ila wanatumia majina mengi kuchanganya akili wasomaji;yanajua hayawezi kushinda katika chaguzi sasa yanaona afadhali wakose wote,Serikali itumie nguvu zake zote kukomesha ushenzi huu.
 
weka ushahidi kwa picha na video. Gari na wahusika. Kura choma moto. Bakisha chache kwa ushaidi ICC!

Watanzania wengi ni maskini kwa sababu ya Serikali mbovu sisizokuwa na dira ya kuwawezesha raia wake tangu tupate uhuru. Hivyo wengi hawatakua na uwezo wa kupiga picha au video wakati wanaliona tukio kutokana na kukosa nyenzo za kuwawezesha kufanya hivyo lakini kwa uzalendo wao wanaamua kuwasilisha ushahidi wa maneno au wa picha dhaifu za simu za kichina china ilimradi wameshiriki katika kuleta mabadiliko kulingana na uwezo walio nao.

Matukio mengi ya uhuni wa CCM yataripotiwa na Watanzania wa aina hii kwani wao ndio wengi na wenye usongo wa nchi yao na hivyo wana uwezekano wa kitakwimu wa kuripoti matukio haramu ya CCM zaidi kuliko Watanzania wenye uwezo.

Hivyo badala ya kuwakatisha tamaa kwa kuwataka waweke ushahidi ambao hawana uwezo wa kuuweka, tuwape moyo na kuwapa ramani ya kuwaunganisha na viongozi wa UKAWA ili wanapoona tukio kama hilo basi wawasiliane na viongozi wa UKAWA kwa njia ya simu ili viongozi wa UKAWA waweze kufika kwenye eneo la tukio na kuripoti tukio kwenye viwango tunavyotarajia.

Juu ya kutokuwa na uwezo wa kuripoti kama wengi wetu tunavyotarajia, bado ninawapongeza kwa moyo wao wa kuthubutu na kutupa taarifa ambazo zitasaidia katika mapambano ya kuleta mabadiliko ya ukweli kupitia UKAWA
 
Mkuu nakwambia watu hawa washenzi sana,wanalipwa na CHADEMA kueneza uongo tu na uzushi, si wengi ila wanatumia majina mengi kuchanganya akili wasomaji;yanajua hayawezi kushinda katika chaguzi sasa yanaona afadhali wakose wote,Serikali itumie nguvu zake zote kukomesha ushenzi huu.

Kikubwa wape pole hao waliokamatwa na kura feki
 
This is just wrong; hivi watu wanajuaje ni masanduku feki? Sasa kesho wakishindwa kupiga kura kwa sababu masanduku hayakufika kituoni watasemaje? Au wanafikiri masanduku yanafikaje vituoni; kwa njia ya mnunurisho?
Mkuu hupo sahihi kabisa,wala usifikiri hawalijui hilo,ukweli ni kwamba viongozi wao wamepania kupotosha Dunia kwamba uchaguzi hautakuwa huru na haki ndicho wanacho kitafuta yaani waonewe huruma na International Community hawa ni watu hatari sana and very calculating,muda wa kuwa contain is now not later,wana choice wakubali kupiga kura kwa amani na ustaarabu au chama chao kifutiliwe mbali tuitishe uchaguzi upya au tuendelea na uchaguzi wao waende popote wakashtaki.

Watu wa ajabu sana hawa,yaani hawataki masanduku yasambazwe vituoni,hivi inaingia akili kwamba wasimamizi wanaweza kupeleka vituoni mabox yalio jaa ballot papers wakati wanajua kwamba kabla kura hazijapigwa mawakala na wasimamizi wanapashwa kuhakikisha kwamba mabox ni matupu/hayana kura ndani! Sasa hizi kelele zinatoka wapi?
 
LAST UPDATE:

Ni kweli masanduku yamekamatwa. Ni kweli mabomu yamepigwa usiku. Ila habari haiko sahihi. Masanduku yalikua yanasambazwa vijijini Vituoni ni mbali. Vinasambazwa na tume

Dada ake mbatia Kessy ndo akajidai amekamata hayo maboksi. Eti kura zinaibiwa. Kumbe ni kura hazijapigwa zinapelekwa kituoni.

Mbatia kushinda ni ngumu so lazima atumie other means ikiwemo kujaribu kuharibu uchaguzi.

Acheni uzushi
 
Kwenye Semina elekezi kwa Wasimamizi wa vituo vya kupiga kura tuliambiwa Masanduku na karatasi maalumu za kupiga kura tutasambaziwa Asubuhi ya saa moja baada ya vituo kufunguliwa na mawakala wa vyama kuwepo... Kama hatokuwepo wakala basi mgombea au kiongozi wa Chama anayetambulika.

Sasa hawa wenzetu, walianzaje kuzurura na Mabox kinyume na Maelezo ya Msimamizi wa Uchaguzi - Wilaya?

Na mabox siyo kazi ya Wasimamizi kuyasambaza ni Halmashauri, sasa hawa wenzetu huo usiku wa manane walikuwa wanapeleka kituo gani na maelekezo gani?
 
LAST UPDATE:

Ni kweli masanduku yamekamatwa. Ni kweli mabomu yamepigwa usiku. Ila habari haiko sahihi. Masanduku yalikua yanasambazwa vijijini Vituoni ni mbali. Vinasambazwa na tume

Dada ake mbatia Kessy ndo akajidai amekamata hayo maboksi. Eti kura zinaibiwa. Kumbe ni kura hazijapigwa zinapelekwa kituoni.

Mbatia kushinda ni ngumu so lazima atumie other means ikiwemo kujaribu kuharibu uchaguzi.

Acheni uzushi
Majasho nimefuatilia huu mjadala...Unaonekana umekesha unajitahidi kuweka sawa hii habari,kwa uzoefu wangu mdogo,mabox ya kula hayatakiwi kusambazwa usiku tena na magari binafsi..kawaida huwa ni Asubuhi ya siku ya uchaguzi na magari ya Halmashauri...Sasa hao usiku wa manane walikuwa wanapeleka wapi??hapa ndio "ukakasi" unapoanzia
 
Last edited by a moderator:
Picha watu wapo kwenye kituo cha polisi hujui utaratibu wa ku-upload picha jf hapo ndio napoichukia hii application eti ku-upload picha mpaka pc khaaa

Hilo ni tatizo la simu yako.
Mie yangu nabandika picha kama kawa
 
LAST UPDATE:

Ni kweli masanduku yamekamatwa. Ni kweli mabomu yamepigwa usiku. Ila habari haiko sahihi. Masanduku yalikua yanasambazwa vijijini Vituoni ni mbali. Vinasambazwa na tume

Dada ake mbatia Kessy ndo akajidai amekamata hayo maboksi. Eti kura zinaibiwa. Kumbe ni kura hazijapigwa zinapelekwa kituoni.

Mbatia kushinda ni ngumu so lazima atumie other means ikiwemo kujaribu kuharibu uchaguzi.

Acheni uzushi
Shukurani mkuu kwa kutuletea habari zenye mshiko,jaribu kufatia kauli za nyuma za Mh.Mbatia zimejaa shari na vitisho vitisho visivyo na mantiki yaani anaonekana kutaka utawala kuliko Mh.Lowassa,Mbatia atasema lolote kujaribu kuchota watu akili anafikiti hawana reasoning capacity za kumshtukia - sasa haya maigizo yake na dadake ni moja ya mbinu zao,wanafanya maigizo alafu wanashirikisha watu wachache kwenye mitandao kusambaza habari potofu/propaganda kwa nia ya kupotosha wasomaji ili wahamaki na kuleta fujo,hana tofauti na Dk.Geobbels enzi za kinazi huko Ujerumani.
 
LAST UPDATE:

Ni kweli masanduku yamekamatwa. Ni kweli mabomu yamepigwa usiku. Ila habari haiko sahihi. Masanduku yalikua yanasambazwa vijijini Vituoni ni mbali. Vinasambazwa na tume

Dada ake mbatia Kessy ndo akajidai amekamata hayo maboksi. Eti kura zinaibiwa. Kumbe ni kura hazijapigwa zinapelekwa kituoni.

Mbatia kushinda ni ngumu so lazima atumie other means ikiwemo kujaribu kuharibu uchaguzi.

Acheni uzushi
Shukrani sana kaka hawa UKAWA wanatapata kila kona.
 
Majasho nimefuatilia huu mjadala...Unaonekana umekesha unajitahidi kuweka sawa hii habari,kwa uzoefu wangu mdogo,mabox ya kula hayatakiwi kusambazwa usiku tena na magari binafsi..kawaida huwa ni Asubuhi ya siku ya uchaguzi na magari ya Halmashauri...Sasa hao usiku wa manane walikuwa wanapeleka wapi??hapa ndio "ukakasi" unapoanzia

Mimi ni mkaZi wa vunjo na mdau katika uchaguzi huu. Vunjo Ina wa piga kura 120,000. Geographical area kubwa kupita maelezo. Niambie, gari la tume litoke kumekucha. Unazani sehemu nyingine kura karatasi zitafika kwa wakati. Si ndo itakua mpiga kura anakuja kituoni hola.

Hapa hamna issue. Ni kutengeneza na mbatia na dadake. Ushwain mtupu. Hata logically it doesn't make sense

Mbatia mwenyew alichakachua karatasi la kura akaweka tick na kusambaza jimboni mpka tume ikamuonya. Barua ipo. Yeye mwenyewe ndo analeta usanii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom