Vunjo: Maboksi 'kura feki' yakamatwa Himo, Kilimanjaro

mknd wako! tena usinivuruge kabisa na usinitafutie ban...hayo masanduku ya kura zilizopigwa na CCM huyaoni?

wakuu mliopo himo tunaomba mtupe UPDATES please.

Hamna kura iliopigwa dorobo. Huelewi Au?zilikua zinasambazwa na tume
 
LAST UPDATE:

Ni kweli masanduku yamekamatwa. Ni kweli mabomu yamepigwa usiku. Ila habari haiko sahihi. Masanduku yalikua yanasambazwa vijijini Vituoni ni mbali. Vinasambazwa na tume

Dada ake mbatia Kessy ndo akajidai amekamata hayo maboksi. Eti kura zinaibiwa. Kumbe ni kura hazijapigwa zinapelekwa kituoni.

Mbatia kushinda ni ngumu so lazima atumie other means ikiwemo kujaribu kuharibu uchaguzi.

Acheni uzushi

Zikiwa tayari kwenye mabox?
 
Hizi habari za kukamatwa kwa kura ni uchuro sasa, kwa nini msiweke hata picha haijalishi ni giza tutazitengeneza kuziweka vizuri.
Vinginevyo acheni uzushi kuwapa watu panic.

sio kila habari lazima iwe na picha. usiwe na ubishi wa kiCCM.
 
Taarifa ya Awali:

Wakazi wa Himo wapo katika kituo cha Polisi himo ambapo gari la Shule ya Scolastica limekamatwa na maboksi ya kura nyingine 3 zilizokuwa zinasafirishwa na pikipiki na nyingne 3 zilizokamatwa na James Mbatia zimefikishwa Kituo cha Polisi Himo.

Tayari watu niwengi sana eneo hili tukiongozwa na Mbatia anayesubiri kuapishwa na Mrema waliokuja kushuhudia.

UPDATE 1:



UPDATE 2:

Muda huu Mbatia katoka nje akiwa na Mrema na kuwahamasiha wananchi watoke barabarani na wakae pembeni na waendelee kushangilia kama ndo wanachotaka. Wamesema kuwa wanawasubiri NEC kuja kukagua na mzee Mrema baada ya kukataliwa na wananchi akaamua kutumia salamu ya CHADEMA na UKAWA ya "peeepoozi" ila kesho wahakikishe wanaenda kupiga kura

UPDATE 3:
Kwa mujibu wa RPC Kilimanjaro, imedaiwa kuwa katika jimbo la Vunjo kuna wasimamizi wa vituo viwili walionekana na masanduku ya kupigia kura wakiwa wanakwenda vituoni kwao huko maeneo ya Himo na Marangu; Baadhi ya wananchi waliwatilia mashaka na kuwakamata usiku na kuwafikisha kituoni na masanduku yao yakiwa salama; anasubiriwa Mkurugenzi wa Moshi vijijini awatambue.

Sidhani kama hii story inaeleweka. Au wenzangu mnaielewa ?
 
...hii ishu inaonekana imefanyika maeneo mengi ya nchi; haya na baadhi tu ya maeneo ambako wamekamatwa hawa mbwa...
 
Kwa nini yasafirishwe na pikipiki na gari binafsi bila hata kusindikizwa na polisi?
 
Shukurani mkuu kwa kutuletea habari zenye mshiko,jaribu kufatia kauli za nyuma za Mh.Mbatia zimejaa shari na vitisho vitisho visivyo na mantiki yaani anaonekana kutaka utawala kuliko Mh.Lowassa,Mbatia atasema lolote kujaribu kuchota watu akili anafikiti hawana reasoning capacity za kumshtukia - sasa haya maigizo yake na dadake ni moja ya mbinu zao,wanafanya maigizo alafu wanashirikisha watu wachache kwenye mitandao kusambaza habari potofu/propaganda kwa nia ya kupotosha wasomaji ili wahamaki na kuleta fujo,hana tofauti na Dk.Geobbels enzi za kinazi huko Ujerumani.

....nyie ni wapumbavu sana;
hata kama wanasafirisha masanduku ya kura ndio wayapeleke kienyeji hivyo? kwa nini wasiwe hata na escort ya gari moja la polisi?
Hako ka mrema nacho nika ccm tu, ndio maana kamechukua tabia zote za kishenzi toka kwao,stupid!
 
Picha watu wapo kwenye kituo cha polisi hujui utaratibu wa ku-upload picha jf hapo ndio napoichukia hii application eti ku-upload picha mpaka pc khaaa

Wewe siyo lazima pc ata kwenye simu kama unatumia App kuna kimshale na vidot ukibonyeza inakupa option ya attach picture.
 
sio tu zikiwa kwenye maboksi, ila zikiwa zimeishapigwa, kujazwa kwenye maboksi na kufungwa...ndio sasa ccm "wanasafirisha kwenda vituoni". Hawa watu wanafikiri kwa kutumia makalio.

Maaaaanina sana hawa wacengeju
 
Back
Top Bottom