vunja mbavu

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
sikiza mazungumzo ya baba na mwana
baba.. we mtoto umekuwa huna adabu
mtoto.. baba usinizengua kwani kama vipi naweza kukulipa malezi yako toka unzae
baba.. we mtoto una pesa ya kunlipa mimi
mtoto.. baba pesa yoyote ntakupa we sema sh ngapi toka nzaliwe
mmmmm
mmmm
dingi akawazaaa
baba.. haya sa nataka unlipe vifuatavyo
1. ulivokuwa mdogo ulila na mke wangu ka miaka miwli hivo na wewe oa unipe mkeo nlale nae miaka miwili
2 ulivokuwa mdogo ulimkojolea mke wangu hivo na wewe oaa mke wako unipe nimkojolee hapo utakuwa umenlipa
 
Pia alinyonya kwa hiyo aoe ampe mke wake amnyonye. Lol!
 
Umekopy kutoka kwa Ze comedy show ya East Africa Television (CHANEL 5) kipengele cha baba na mwana. Naomba uwe creative, ukishindwa kubuni tuambie ukweli umekipata wapi
 
gazeti la sanii enzi hizo comedy wameiga kule, swala ni kuwapa wana jf raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom