Vunja mbavu na Google translate

Vunja mbavu na Google translate

Hiyo
IMG_20180316_160702_617.jpg
 
Ni kama vile imechukua nafasi ya kamusi kwa wengi wetu kwakuwa si kila wakati tutabeba kamusi tutembee nazo... Uliza chochote kwenye Google utapata jibu... Ni mara chache mno Google kukosa jibu... Lakini sasa jibu utakalopewa si lazima liwe sahihi ama la utaishia kuvunjika mbavu kwa kucheka
Una kituko cha Google ulishawahi kukutana nacho kwenye tafsiri? Please share watu wapunguze stress View attachment 716682View attachment 716684
kaka wa kibo upo poa??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
IMG_20180316_183659.jpg
 
Wee jamaa huishiwi vituko kha! [emoji23][emoji23][emoji23] asante kwa kuniongezea siku
 
Back
Top Bottom