Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,443
- 872,038
Ni kama vile imechukua nafasi ya kamusi kwa wengi wetu kwakuwa si kila wakati tutabeba kamusi tutembee nazo... Uliza chochote kwenye Google utapata jibu... Ni mara chache mno Google kukosa jibu... Lakini sasa jibu utakalopewa si lazima liwe sahihi ama la utaishia kuvunjika mbavu kwa kucheka
Una kituko cha Google ulishawahi kukutana nacho kwenye tafsiri? Please share watu wapunguze stress View attachment 716682
Una kituko cha Google ulishawahi kukutana nacho kwenye tafsiri? Please share watu wapunguze stress View attachment 716682