Vunja jungu baba!!!!!!!!

Vunja jungu baba!!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
vunja jungu.jpg
Usimuogope mtu bhana kwani dunia tunapitaaa.
 
Nahisi kichefuchefu cha kulilia maadili yetu. Hilo jungu au janga? Acha alivunje miwaya itamvunja naye. Ni ushauri tu.
 
naona wazee wa mtwara wamefika dar wamesahau madai yao ya gesi na badala yake wanakomaa na TOTOZ za jiji.... chezea magamba wewe... wakitoka hapo gesi hiyooo bagamoyo
 
naona wazee wa mtwara wamefika dar wamesahau madai yao ya gesi na badala yake wanakomaa na TOTOZ za jiji.... chezea magamba wewe... wakitoka hapo gesi hiyooo bagamoyo


Thubutu, watu wanataka ajira kule kusini, wazee wa ccm watapewa visenti kuwarainisha lakini watawakuta vijana wamekunja

ndita wazee wa ccm lazima kunywea chezea CUF weye! kila ntoto, kila ntu gesi kwaza uhai baadye. unshasikia!
 
pombe ndio imepata washabiki wengi,
 
jamaa n wa kaskz huyu.cheki kitu cha ngozi hapo chini
 
huyu bwashee badala ya kutafuta hela yeye kaingia kwenye mambo ya pwani.du.
 
Back
Top Bottom