Vunja Bei wameanza utapeli

Vunja Bei wameanza utapeli

Umeniwahi kuleta hii mada, nilienda vunja bei sinza. Haya ndio niliyaona;
- Nilichat na hao vunja bei whatsapp, nikawauliza nikichukua kuanzia piece 10 mtaniuziaje, wakasema 18000, nilivyoenda dukani kwao sinza wakakaza kuwa watauza bei ya mwisho 22000, nilishangaa sana.

- Jamaa anayekaa counter(anayepokea pesa) hana customer care nzuri, ipo hivii hata kama mteja anauliza swali mara mbili mbili unachopaswa ni kumjibu tu na sio kuonyesha umemdharau.

- wameanza tabia ya ukiwa hujulikani(sio star) wewe tegemea kupuuziwapuuziwa tu, ila akija mbongo fleva utaona hizo shobo za kufa na mtu

Niwakumbushe, hao wabongo fleva wapo wachache hawawezi kununua nguo duka zima, ila sisi ambao hatujulikani sio ma-star ndio tupo wengi na tunaoweza kununua nguo kwa wingi. Mastar wanatumika kutuleta sisi hapo, yaani nikiona diamond katupia jeans au tshirt na kasema kanunua vunja bei basi ndio anatuvuta sisi followers wake wengi tuje hapo, so tubahitaj pia kuwa respected.

JIREKEBISHENI HAPO
 
Sehemu yoyote ile ya biashara yenye majina ya 'dizaini ya hayo Vunja bei' hua siyasogelei kabisa.
Kweli ni upuuzi tu unskuta quality ni ile ile kama ya sehemu zingine halafu unauziwa kwa bei ya juu unakubali kwenda eti ili uonekane umeingia vunja bei au hussein pambakali.
 
Kuna machimbi ya lumo mwisho wa lami.kuna machimbo ya chanika huko...kuna machimbo ya kigamboni.. Na pia kuna machimbo ya mwabwepande..chagua watu ni karibu uende
Nifungukie chimbo za Chanika mkuu
 
Kazi Kweli Kweli "Vunja Bei"
Ndiyo Wanapotea Hivyo
Wametanguliza Njaa
 
Mashati na viatu vya kiume Mkuu

6304be12-3958-4545-b208-2cad4fe1e24e.jpg

69590adc-e356-430b-b36f-de7032011c2a.jpg

1c6e7048-6837-43cd-9cd8-e76243157a2b.jpg

6c7f8c35-76b1-4b71-bbe6-06415d9f369d.jpg

6304be12-3958-4545-b208-2cad4fe1e24e.jpg


Mali ya Mturuki hiyo, kama uko interested nistue
 
Mkuu mbona unacholalamimka hakina mantiki, unasema umeliwa 50,000/= kwani ilikuwa lazima ulipie??
Ukishapeleka vitu counter kama hujaridhika si unavirudisha vyote na unaondoka bila kulipa hata 100, au unalipa kwa urefu wa pesa yako.
Acha kuwachafua jamaa wako vizuri, nimeenda juzi nimehudumiwa kama mfalme.
 
Siwachafui naongea Hali halis Mimi Kama mteja nieachafue kwa nin? Wakat Mimi siuzi nguo?
Mkuu mbona unacholalamimka hakina mantiki, unasema umeliwa 50,000/= kwani ilikuwa lazima ulipie??
Ukishapeleka vitu counter kama hujaridhika si unavirudisha vyote na unaondoka bila kulipa hata 100, au unalipa kwa urefu wa pesa yako.
Acha kuwachafua jamaa wako vizuri, nimeenda juzi nimehudumiwa kama mfalme.
 
Utakua unawatetea Ila hujui watu wengine status zao zikoje na ilikuaje Kwan Mimi ndio wa kwanza kutapeliwa kwa stail hii???
Baada ya kukuta bei tofauti ilikuwa ni lazima ulipie mzigo? Huwa wana lazimisha kulipia?
 
Back
Top Bottom