Vunja Bei wameanza utapeli

Vunja Bei wameanza utapeli

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2020
Posts
1,257
Reaction score
1,543
Habari wadau wa jamiforums
Nimekuja kuwakumbusha vunja Bei kuwa Biashara ya mtu mweusi huwa inakufa haraka kwa vitu vikubwa vitatu tu hata Kama imeshafanikiwa kiasi gani

1) Uongo kwenye Biashara kumtangazia mteja kuwa sisi vitu tunauza Bei hii alafu akishanunua kwenye kulipia unaniambia Bei nyingine

Nimesema uongo kwenye Bei si kwamba wafanya Biashara wengine hawadanganyi Ila inategemea wanadanganya vipi

Ila stail ya vunjabei ni mbaya kwa sababu wameandika vibao shilingi elf 18000 ukichukua nguo kwenye kulipia unaambiwa elfu 20000 hii ni mbaya Kama vibao wanakuwa hawawezi kuvifata ni Bora wavitoe tu Mana mteja anaweza chukua nguo kadhaa kwa kutegemea Bei husika akifika mezani inakuwa tofauti na kumfanya kushindwa kulipa na kurudisha baadhi ya vitu au kutumia hela ambayo haipo kwenye matumizi

2) Wafanyakazi kukosa weledi wa kazi unakuta bidhaa Bei ni kiasi kadhaa wao kuuza kiasi kadhaa hii wengi huwa hatupendi

3) Mfanyakazi kutokumpa mteja ufalme wake na kumueshimu

Vunjabei Mimi ni muhanga wa namba moja na mbili tawi lenu la hapo sinza nimeliwa Zaid ya elfu 50000 Apo kusema kweli nilimaind Sana na wafanyakazi wenu kuto kujali lolote

Pia kwa nilivyo waangalia ni wazi kabisa walichofanya ni nje ya mipaka ya ofis so ningeshaur msiamini Sana wafanyakazi wenu

Sijamsemea mtu Kwan mim mwenyewe ndie muhanga
 
Utapeli mkubwa ni wa hatimiliki. Tanzania in sheria ya hatimiliki.
 
Sio mambo ya mtu mweusi au nini ila ndo mfanyabiashara duniani kote wanafanya hivi .....haya alibaba ebay mchezo ni ule ule ila malalamiko kama haya yatasaidia
 
Back
Top Bottom