OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,244
- 103,926
Nimefanya tafiti yangu nimejiridhisha Fred Ngajiro na kampuni yake ya Vunja Bei hawana uwezo wa kutengeneza na kusambaza jezi za klabu kubwa kama Simba Sc
Vunja Bei amekuwa mtu wa kuunga-unga kama kawaida ya kampuni nyingi za wazawa. Bahati mbaya zaidi amejidhihirisha hivyo wakati wote wa muda wa mkataba wake
Viwango vya jezi havilingani na ukubwa w Simba Sc. Tuwe wa kweli. Sitaki Kujilinganisha na Yanga lakini ukweli ni kwamba ubora wa jezi za Simba zinaingia mara 3 kwa kwa ubora wa Yanga.
Usambazaji wa jezi umekuwa tatizo ambalo amekosa kabisa mkakati wa utatuzi. Wote tunakumbuka msimu ulipoanza na hata usambazaji wa jezi za Championship.
Sina uhakika kama kweli hata kaweza kulipa hiyo bilioni mbili ambayo ni thamani ya mkataba.
Vunja Bei hana uwezo wa kufanya biashara na klabu kigogo kama Simba Sc. Kwa vile mkataba wake unaelekea kuisha, nashauri Bodi ifanye uwezekano wa kupata kampuni ya kimataifa.
Vunja Bei anatupa kazi ya kumtetea