EVIGT

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
496
367
Habari Jku.

Kwa wale waliofanikiwa kujenga na watakaojenga, baada ya nyumba kukamilika, huwa kunawekwa bomba za kukinga maji ya mvua, zinaitwa gutters.

Kipindi mvua inaponyesha hizi gutters ndio zinakinga maji na kuyaelekeza mahara pa kwenda.
Asilimia ya nyumba nyingi utashuhudia maji haya yanaelekezwa kumwagika tu ardhini au kwenye mitalo (storm water drainage)

Ni vizuri maji haya yakaifadhiwa kwa matumizi ya baadae, njia bora ya kuhifadhi maji haya ni kuonganisha na tank la maji ambalo ni stainless steel. Tank hizi ni nzuri zaidi kwa kuhifadhia maji kwa sababu hazisupport mazingira ya wadudu kukaa au kuota ndani ya tank ,hivyo kufanya maji kuwa salama kwa kipindi kirefu.
Sasa karibu;

Unaweza kuwasiliana nasi sasa, Kwa huduma za kufunga gutters,
Kuunganisha tank za maji na drainage system.
Dsm- 0699494650
Iringa,Mbeya,- +255734660368
Tanga,Arusha- +255 693 910 388

IMG-20230212-WA0005.jpg
IMG-20230212-WA0010.jpg
IMG-20230212-WA0011.jpg
IMG-20230212-WA0007.jpg
IMG-20230212-WA0028.jpg
IMG-20230212-WA0033.jpg
IMG-20230212-WA0021.jpg
 
Tank Lipo Chini Je Kuingiza Maji Ndani Pressure Yake Ipoje?? Engineers Wanatuambia Kama Utatumia Tank Kuingiza Maji Ndani Ili Upate Presha Nzuri Ni Muhimu Na Lazima Tank Liwe Juu!
Tank lipo chini kwa sababu maji yanatoka juu kwenye gutters, sasa lazima yapate slope ili yatelemke hadi chini kabisa kwenye tank,
Sasa basi Kama utahitaji kutoka kwenye tank kwenda kwenye nyumba yako ni lazima utumie surface water pump ndogo tu kama ya 0.5 hp, kuongeza pressure.
Nafikili umenielewa!!
 
Sasa basi Kama utahitaji kutoka kwenye tank kwenda kwenye nyumba yako ni lazima utumie surface water pump ndogo tu kama ya 0.5 hp, kuongeza pressure.
Nafikili umenielewa!!
Na umeme wetu huu wa kupima kwenye vidumu
 
Najaribu kuwaza je, kama ukifunga gutters kisha ukatengeneza underground water storage system kisha ikawa na separate water purification na solar heating system haiwezi kuwa feasible kweli?
 
Back
Top Bottom