Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,042
Wana JF wote nawasalimia kwa umoja wetu. Bila kupoteza muda naombeni ushauri.
Home kijijini kwetu kuna hali ya uhaba wa maji,nilikuwa nina mpango wa kuchimba kisima cha drilling. Sasa jana kuna mtaalam amekuja akanishauri ili kupunguza hizo gharama za kisima cha drilling zinazofikia milioni 8 mpaka 9,akanishauri tuchimbe kisima futi 20,kijengelewe vizuri kifungwe juu.
Gharama ya hii ni usiyozidi milioni 3,then niwe navuna maji ya mvua lita zisizopungua 60,000 kwa mwaka. Tunayatia dawa,water gud.Nayavuta kupandisha juu kwenye tank then tunaya-supply nyumba nzima kwa matumizi ya kupikia na kufulia na kuoga. Sasa nauliza mwenye uzoefu vipi kuhusu hayo maji na huo mpango?