kule lindoni uzima upo?Vishu mtata!!!
Kule tupo kamili sana,tumekumiss tukule lindoni uzima upo?
Naam naamVishu mtata!!!
Nimekukubali kwa yale majibu,nipo France expert wanguNaam naam
Umeenda lini huko mkuu, si majuzi tu hapa ulikua kibada??Nimekukubali kwa yale majibu,nipo France expert wangu
Powered by vpn
Huyu kama yupo Tanzania nashauri aisajili VPN yake TCRAHii habari ungeipeleka huko facebook, instagram au whatsapp ungesaidia wengi sana.
Hapa wengi tupo nje ya nchi na ndio maana tuna access na jf, na bila shaka ni wewe pekee ambae unatumia vpn.
😹😹😹Hii habari ungeipeleka huko facebook, instagram au whatsapp ungesaidia wengi sana.
Hapa wengi tupo nje ya nchi na ndio maana tuna access na jf, na bila shaka ni wewe pekee ambae unatumia vpn.
Sio moshi wa jf mkuu???