ishu kam hiz kama watu hawajawa ki2 kimoja kam ilivokuwa enzi zilee, mambo hayaendi sawa.. lakin bwana mkubwa ww ndo ulianza,nakumbuka ulikuwa unamkosoa paje hadharan,, wataalam wakinuna tutabakia underground tunahaha,tunachojali pesa na maslahi mbele bila utu. mkuu paje na e2themiza ni msaada mkubwa hapa jukwaan ila baada kuona kuna wanafiki hapa wamekata chochoro.. pia kuna uwezekano hawa marafiki wazaman wote wako chimbo moja,,, ndo mana tunaskia kuna watu wanauza apn setting kwa buku 20.. pathetic! tungekuwa ki2 kimoja leo tungepata hizo tricks for free kabisa.Tusipojirekebisha HUKO TUENDAKO NI BALAA ZAIDI,, yangu macho.