Vpn free internet

Vpn free internet

ok kwa kuanzia tungemuomba wamavoko atuhakikishie huyo jamaa kam ni mkweli,, then kila anaetaka anipm mm.. buku 20 tungepata wa2 kam 10 na kila m2 atoe buku 2.. wale wanaorun mda wote hili jukwaa na wenye moyo wa kweli watapewa priority.. kam kichwanazi,baada ya hapo tutamkabidhi ndugu njunwa,, kitachofata ni kushare hizo setting kwa walochangia.. au mnaonaje wakuu?

hapo fresh
 
tumekaa mkao wa kula.....!!!!

nishajichanganya game ya kwanza anadai kama upo Dar unamfuata (jamaa mjanja sana)
Usije shangaa anasoma haya ninayo yaandika
Lkn nimemtumia mchii wangu amempiga fix yuko Moro hivo kasema atakuwa na PC kwenye mida ya saa tatu usiku au kesho kabisa ....ile ikigonga tatu kamili basi tunaye hewani
 
mpaka kieleweke.......
 
ushaigizana King Kamanda?
 
duh hii ki2 kitakuwa si kweli,, ndo wale madogo wanaokuja hapa jf na kujua kuconfigure vpn kwa magic sim card then wanaenda kitaa au facebook na kujisifu wamekuwa mahacker tayar,, kazi bado tunayo kam asilimia me natoa 2%.
 
nshampa namba kichwanazi mchana maana ewe ulikuwa OFFLINE emu bonga nae usikilize info alizo pata
 
  • Kama unatumia MAC OSX 10.6 or New version
  • Nijulishe nikupe kitu unlimited, Huto lipia chochote.
  • New tunnel VPN with 24 servers, all supporting Torrents. With supper speed

Mie natumia hiyo kitu aisee nipe mautundu hayo
 
wazee wa vpn mbona kimya sana
inamaana hakuna tundu lolote lililogundulika huko duniani
kama kuna maufundi yeyote mliyoyapata tunaomba mtupie hapo kati
akina NJUNWA WA MAVOKO,PAJE,X800,MWL.RCT MPOOOOO
**acheni kuwa kimya hivo hata mungu hapendi**

Ebwana msaada kuchukua ma program ya apple store ya kulipia......
 
Nimeamini Mkuu Jumwa Humu Kuna Madogo Vichwa Maji Ndio Maana e2themiza Alitukimbia Dah! Dawa Nikumaliziana Kwa PM Tu Kwa unaemwamini Over....UPENDO USIZIDI KIPIMO
 
Last edited by a moderator:
mkuu server za free haziko stable,, nunua kwa akina wamavoko au yule mwengine alokuja kivyake na buku 7, ule net ya uhakika mwez mzma.

Pia unaweza kulipia mwenyewe online(PayPal) Tunnel guru $3.5 kwa mwezi
 
duh hii ki2 kitakuwa si kweli,, ndo wale madogo wanaokuja hapa jf na kujua kuconfigure vpn kwa magic sim card then wanaenda kitaa au facebook na kujisifu wamekuwa mahacker tayar,, kazi bado tunayo kam asilimia me natoa 2%.

Na saiz tusubiri tu mana vitoto vya ndalichako vimeshamaliza,
bas vitajaa humu ndani kibao sana na Post zisizo na maana na kujifanya vi hackers
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom