kichwanazi
Member
- Apr 11, 2013
- 89
- 9
wazee wa vpn mbona kimya sana
inamaana hakuna tundu lolote lililogundulika huko duniani
kama kuna maufundi yeyote mliyoyapata tunaomba mtupie hapo kati
akina NJUNWA WA MAVOKO,PAJE,X800,MWL.RCT MPOOOOO
**acheni kuwa kimya hivo hata mungu hapendi**
mkuu naomba nipatie hyo ya mac kaka
- Kama unatumia MAC OSX 10.6 or New version
- Nijulishe nikupe kitu unlimited, Huto lipia chochote.
- New tunnel VPN with 24 servers, all supporting Torrents. With supper speed
mm ninatumia dell D630 je ninawezakupata unlimited internet please
wazee wa vpn mbona kimya sana
inamaana hakuna tundu lolote lililogundulika huko duniani
kama kuna maufundi yeyote mliyoyapata tunaomba mtupie hapo kati
akina NJUNWA WA MAVOKO,PAJE,X800,MWL.RCT MPOOOOO
**acheni kuwa kimya hivo hata mungu hapendi**
mkuu server za free haziko stable,, nunua kwa akina wamavoko au yule mwengine alokuja kivyake na buku 7, ule net ya uhakika mwez mzma.
Huyu anauliza PORT za kabang na Airtel maana airtel nao kuna mtu kanambia wameingia King(wamekuwa magic)
realy? ngoja niingie chimbo
Mkuu ni kweli maaana mm sina Line ya AIRTEL afu kuna mteja wangu kanishtua hiyo issue
Nipe jibu plz nika renew line yangu ya Airtel faster
ah patupu bwana mkubwa,, hawa jamaa nuksi sana.
ah patupu bwana mkubwa,, hawa jamaa nuksi sana.
mimi natumia zorin os nadhani hayo makitu yatanifaa so nipe pande mkuu
- kama unatumia mac osx 10.6 or new version
- nijulishe nikupe kitu unlimited, huto lipia chochote.
- new tunnel vpn with 24 servers, all supporting torrents. With supper speed
Vp lkn inaunga bila hela?
maana mm siko na line ya hili basi kabisa...nifanyie confirmation weekend nipate line
mimi natumia zorin os nadhani hayo makitu yatanifaa so nipe pande mkuu
no kwangu haiungi mkuu,hebu tuwasubir wakuu wengine watuhabarishe.. chief uko wapi
Unaua sasa WamaVPN! Ebu mpe support bhana KRAPKA DAVINOOOO!!so kila kisemwacho kipo uwanja wa biashara siku hizi umesahau nn
mm ninatumia dell D630 je ninawezakupata unlimited internet please naomba msaada natangiliza shukrani