kichwanazi
Member
- Apr 11, 2013
- 89
- 9
wazee wa vpn mbona kimya sana
inamaana hakuna tundu lolote lililogundulika huko duniani
kama kuna maufundi yeyote mliyoyapata tunaomba mtupie hapo kati
akina NJUNWA WA MAVOKO,PAJE,X800,MWL.RCT MPOOOOO
**acheni kuwa kimya hivo hata mungu hapendi**