VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

Hadi ifike nyie mshaumia sana. 😂😂

Alinichekesha Mtani Faru Kabula eti akasingizia yuko chimbo halafu hakuna umeme nikawa najikumbuka mie msimu uliopita. 😂😂

Ama kweli kipigo noma.
Mazoea yana tabu Shadeeya mamii. Tumezoea ubingwa, tumezowea ufalme, tumezowea mataji, tumezowea kushinda tena kwa ushindi mnono sasa bahati mbaya tukiteleza mechi moja inakua furaha na shangwe kubwa sana kwa wapinzani wetu. Tafsiri yake ni kwamba hawaamini kua mbabe wa wababe siku mojamoja usingizi unampitia halafu panya anamchezea sharubu kisha anakimbia kujificha🤣🤣🤣

#gazetindiolinawafaachurafc
 
Doooh!! Gazeti lote hili. Lol

Ama kweli kipigo sio kitu poa. 😂😂😂
 
Mazoea yana tabu Shadeeya mamii. Tumezoea ubingwa, tumezowea ufalme, tumezowea mataji, tumezowea kushinda tena kwa ushindi mnono sasa bahati mbaya tukiteleza mechi moja inakua furaha na shangwe kubwa sana kwa wapinzani wetu. Tafsiri yake ni kwamba hawaamini kua mbabe wa wababe siku mojamoja usingizi unampitia halafu panya anamchezea sharubu kisha anakimbia kujificha🤣🤣🤣

#gazetindiolinawafaachurafc
Panya kakuchezea sharubu au kakupiga,hapo ndio mjue hamna kikosi kipana jana mmecheza mpira mbovu sana.

Sema tu watoto walikosa umakini ila mngekula hata mbili.Hamna cha Bwalya wala Morisson ,engine ya Simba Chama na chama akikosekana timu inakuwa haichezi mpira wala kutengeneza nafasi za kutosha.

Simba nawaogopa wachezaji wawili tu Kondeboy na Chama,ukifanikiwa kuwazuia hawa basi hata Kagere anakuwa hana sumu.
 
Mazoea yana tabu Shadeeya mamii. Tumezoea ubingwa, tumezowea ufalme, tumezowea mataji, tumezowea kushinda tena kwa ushindi mnono sasa bahati mbaya tukiteleza mechi moja inakua furaha na shangwe kubwa sana kwa wapinzani wetu. Tafsiri yake ni kwamba hawaamini kua mbabe wa wababe siku mojamoja usingizi unampitia halafu panya anamchezea sharubu kisha anakimbia kujificha

#gazetindiolinawafaachurafc
Mlianza lini kuwa na sifa hizi? Sifa yenu kuu ya miaka ya hivi karibuni ni kupigwa 5
 
Asalaleee.....Vyura mmeitana huku...mmejazana....! yaani nyuzi hizi siku za karibuni vyura huwa wanazikimbia na kudai wanatumia uzi wao Yanga Afrika kwa woga na kutojiamini. Sasa muwe mnaanzisha nyuzi na nyie ili kilinge kinoge.....mnavyokimbia sio poa,sie ni watani tu.
Apedomia Ni nomwaaaa
 
Dunianiani kuna makhanithi wengi ila Manula ni khanithi namba moja.
kila siku anarudia makosa yaleyale kwanini lakini,mechi na mtibwa alitoka golini kama alivyotoka hii mechi na Prison.

kufungwa kupo hata timu bora duniani zinafungwa lakini sio kufungwa kikhanithi namna kama ya Manula.
wanamsimbazi tunakosa raha mtaani kwa kero za wanautopolo kwanini lakini.haaa!
 
Wale makocha wa makipa wanalipwa kwa kazi gani.
Kwanini wachezaji walishindwa kupata hata goli moja
 
Back
Top Bottom