Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,140
- 138,241
mimi nitakuwa maji maji stadium kushangilia chama letu majimaji!!
kwani ndo timu itakayochukua nafasi ya Simba ambayo inashuka daraja mwaka huu.
simba haitoki hapo gas city
zile anakwenda anakwenda za Bwire alilazimika kushika pumbu mikono miwili,hawezi shika cmMakoye Matale, uko wapi mtani? Mnyama anaua huku. Mpaka sasa Ndalla hoi.
CC: Makoye Matale na Bantu lady na wengine wote wanaohusika.
Hakika simba hatoki bila kujeruhiwa hapa the gas city wana mtwara wote kwa pamoja bila kujali tofauti zetu tumeungana ili kuhakikisha mnyama hatoki salama kwenye nyika hizi za makonde.
Hongereni simba.
Hongereni simba.
Alafu Amis Tambwe ni mzenji nini? Hana kisogo!
Full time: Ndanda 0-2 Simba. Kwa hisani ya TBC Taifa.
Dah, JF kuna mambo kweli
ila makoye matale mstaarabu sana .haamini ushirikina kabla ilivyo yanga washirikina scCC: Makoye Matale na Bantu lady na wengine wote wanaohusika.
Nanusa harufu ya woga ishaanza kutanda. Naona mikia katikati ya miguu mpaka kifuani kwa wanyama wadogo. Mfalme wa msitu kaamka.
Azam walikuwa wanaongoza goli moja, sijui kwa sasa matokeo yakoje.
Azam wanaongoza moja.